Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi


Me nlikuwa naitaga kupiga tizi, aloo nieacha sikuiz manake naona tu sio poa mtu unamjaza anajaa unamkaushia sasa inakuwa sio ishue..
 
Me nlikuwa naitaga kupiga tizi, aloo nieacha sikuiz manake naona tu sio poa mtu unamjaza anajaa unamkaushia sasa inakuwa sio ishue..

Ubaya kuna level fulani ukishafika unaye mfata anakuwa na expectations fulani ambazo zinamfanya anakubali fasta.

Sasa kumbe wewe ulikuwa unajaribisha tu.
 
Ubaya kuna level fulani ukishafika unaye mfata anakuwa na expectations fulani ambazo zinamfanya anakubali fasta.

Sasa kumbe wewe ulikuwa unajaribisha tu.

Yaaah especially kama alikuwa rafik na anajua lifestyle yako na vitu kama hivyo basi hata kukukatalia anaona kama atakudisappoint kumbe we unatest mitambo, na kitu kibaya zaid ni kumla dem anaejua mambo yako mengi alafu ukamwacha huwa anakuona mnyama sana anaweza akawa anasononeka tu wewe huku unapata laana unakuwa hufanikiwi, me nimeacha sikuiz aisee,
 
Ubaya kuna level fulani ukishafika unaye mfata anakuwa na expectations fulani ambazo zinamfanya anakubali fasta.

Sasa kumbe wewe ulikuwa unajaribisha tu.

Kuna kitoto tulikutana maeneo ya kula sasa jamaa akachelewesha msosi sasa ile kuanza kulalamika ndio convo ikaanzia hapo sasa tukaexchange #, kitoto naona kinakuja kasi me naona noma manake naweza nikakila alafu nikakimbia ambayo sio poa basi me namwangalia tu na muda mwingine namkwepa sababu stail anazojaa nikimla nikimpiga chin atanilaani vibaya mno...Sitaki hyo dhambi sikuiz [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], kinamzigo icho ila navumilia hivyo hivyo daah...
 
Duh tafuta gogo chonga kinyago cha mwanaume mwenye sifa hizo asie na kasoro
.
.
.
kila la kheri Khadija
 
As a man I hate to be compared by others...when you are seriously looking for a man don't start comparing men ati awe kama GuDume and so forth, you will loose...

Over
 
Nina sifa zote na kiingereza nachapa bila shida.Welokamuuu
 
Yaani unajidanganya kabisa kwamba utatambua tabia ya mtu kupitia threads zake daaah too bad[emoji23][emoji23][emoji23]
 
The guy you want can only be genetically engineered in the Lab.... Teenagers!! Wapi mnafail... If you want be a Queen make your husband a King....!!
 
Kwa mujibu wa kamusi ya kiingereza ya oxford, BOYFRIEND IS A MALE THAT U ARE HAVING A ROMANTIC RELATIONSHIP WITH HIM.
Kwa mujibu wa maekezo yako unahitaji mhusika ajue kiingereza vizuri, nakushauri ukamuone ras simba kwanza wewe binafsi.
 
Bi Khadija

Maandishi yako yanaonesha upeo wako mkubwa wa kufahamu mambo, kuyachambua na kutengeneza hitimisho jadidi.

Kwa upeo huu haiwezekani hukupata boyfriend sahihi wakati unasoma A level, na hasa hasa chuo hiyo miaka mitatu hadi mitano. Ilikuwaje mpaka umehitimu masomo, uko nyumbani mwaka sasa baada ya masomo, huko kazini uendako kote huko hakuna boyfriend sahihi?

Itoshe kukutakia kila la heri, mwenyezi Mungu akujalie furaha ya moyo wako.

c.c Honey Money Penny
 
Ni hii hali ya hewa mkuu inachangia kuficha ficha Mara rafk Mara mpnz ila ungekua muwazi tu kuwa kuna kitu kinapanda mbona kwa umri wako sisi watu wazma na mabaharia tushaelewa shida ni nn
 
Gwajima anakufaa kabisa kwa sifa hizi
 
Hi khadija unatatizo kubwa sana hujajigundua, njoo PM nikupe msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…