Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

Kama namwona mwenyekiti was Kijiji akimpelekea kuku vile! Nae kachoka huko wapo was kumwondolea upweke kuwa na amani.
 
Kama namwona mwenyekiti was Kijiji akimpelekea kuku vile! Nae kachoka huko wapo was kumwondolea upweke kuwa na amani.
Hahahahaa... huwa naendaga huko machakani kumlegeza nyonga kidogo... kama hatosheki hata tukiwa wote hapa ata cheat tu... issue ni kuwa karibu na watoto
 
Kasema kwake pesa sio tatizo, tunamrahisishia amfungulie day care wifi ili asiharibu career yake 😹
Sasa stress zote za Day care mkuu, ikibumba inakuwaje akati ashazoea kwenda kwenye ATM kupulizwa na upepo wa hela zikitoka. Si ndo kukaribisha pepo la ugomvi ndani ya nyumba

Una feli kuwa mama ushauri, we utanipoteza kabisa na mambo yako ya day care. Unataka yule mmachame anichinje... sidanganyiki 🀣🀣
 
Uko sawa kabisa πŸ˜‚
Day care nayo ni kule kule kwenye ualimu tena atakuwa kajiajiri
Huko kwenye day care mtaniingiza chaka la miba. Ninazijua vema biashara... ibume halafu nitamuangalia mwenzangu kwa jicho lipi na hapo nimemuaxhisha kazi? 🀣🀣🀣🀣
 
Km mmachame mfungulie itafanya vizuri labda km upo kuchangamsha kijiwe una pesa na kumbe huna..!! 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…