nimekupata mkuu!
Kama ukiona kila mtu anakufanyia ubaya wewe lakini yuko poa na wengine, basi jiangalie. Huenda tatizo unalo kweli.[ sio kila mtu hapana ila wale ninaokuwa nao kama marafiki. Huwa wakiongea wanikosoe tu! Nikifanya vyema wao waponde tu! Na wengne hupenda ama kufurah pindi nikikosea mbele za watu kwa kebeh
Jitahidi kujichanganya kwenye majukwaa mengine pia...uwe hata waingia JF Jokes, Chitchat, MMU, Photo na hata kule Sports kama wewe ni mpenzi wa michezo...hiyo itakupelekea kujenga mazoea ya urafiki na watu wengi hapa jukwaani. Lakini ukipiga kambi kule utaishia kuwa ni mtu mwenye hasira na kukereka mara kwa mara...[thankx a milion!
hebu njoo.......halafu si unajua kuna zile dokumentsi tulitakiwa tubadilishane.....hivi imekuwaje.......?
Pole nsaa hebu na wewe jichunguze kwanini wankufanyia hivyo pengine na wewe una matatizo. Naamin huku utawapata coz arusha kuna Wana Jf wengi tu .[Binafsi kwa upande wangu sina tatizo maana wanaonionyesha hizo ni wale niliowazoea
Mi nipo karibu, hamia kwanguAyaa, daaa! Tatizo uko mbali, bathi tena
Mi nipo karibu, hamia kwangu[mh
Pole sana kwa ubinafsi.[Thankx
Pole sana kwa ubinafsi.[Thankx
send me friend request
send me friend request[ ar u in arusha?
Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu ambacho sipendi kitokee! Ningependa kuwa na kampani kwa maana ya marafiki na si lingine! Yaan nimekua mkiwa sababu ya ubinafsi ninaoonyeshwa na jamaa zangu! Hivyo naitaji kampani yako sana pls Niko Arusha! KARIBUNI!
send me friend request[ ar u in arusha?
teh teh nipo hapa jogoo nakula kuku sasa karibu
mi nipo karibu, hamia kwangu
teh teh nipo hapa jogoo nakula kuku sasa karibu[ hee mbona mi niko hapa nje ya jogoo house? Uko kwa wap
teh teh nipo hapa jogoo nakula kuku sasa karibu[ hee mbona mi niko hapa nje ya jogoo house? Uko kwa wap
hapa karibu na ngazi za kupandia juu mkuu upo hapo???karibu tunapiga biere kidogo
hapa karibu na ngazi za kupandia juu mkuu upo hapo???karibu tunapiga biere kidogo[ duh nimekazana kuangalia sion!
hapa karibu na ngazi za kupandia juu mkuu upo hapo???karibu tunapiga biere kidogo[ duh nimekazana kuangalia sion!
ha tokea mda ule ndo uanijibu sasa/???nlitoka hapo saa 1 kwa kukusaidia mdada mkali katik wote waliokuwepo humo ndo mimi sahivi nipo the kiss kama unaweza kuja njoo rafiki:A S clock: