Nahitaji Coumpany! Yako!

Nahitaji Coumpany! Yako!

nimekupata mkuu!

Jitahidi kujichanganya kwenye majukwaa mengine pia...uwe hata waingia JF Jokes, Chitchat, MMU, Photo na hata kule Sports kama wewe ni mpenzi wa michezo...hiyo itakupelekea kujenga mazoea ya urafiki na watu wengi hapa jukwaani.
Lakini ukipiga kambi kule utaishia kuwa ni mtu mwenye hasira na kukereka mara kwa mara...
 
Kama ukiona kila mtu anakufanyia ubaya wewe lakini yuko poa na wengine, basi jiangalie. Huenda tatizo unalo kweli.[ sio kila mtu hapana ila wale ninaokuwa nao kama marafiki. Huwa wakiongea wanikosoe tu! Nikifanya vyema wao waponde tu! Na wengne hupenda ama kufurah pindi nikikosea mbele za watu kwa kebeh
 
Jitahidi kujichanganya kwenye majukwaa mengine pia...uwe hata waingia JF Jokes, Chitchat, MMU, Photo na hata kule Sports kama wewe ni mpenzi wa michezo...hiyo itakupelekea kujenga mazoea ya urafiki na watu wengi hapa jukwaani. Lakini ukipiga kambi kule utaishia kuwa ni mtu mwenye hasira na kukereka mara kwa mara...[thankx a milion!
 
Nikikuja kipande hiyo nitakuletea makabrasha yote Dr...
Halafu kesho nitakucheck hakikisha kilongalonga chako kipo mawinguni eenh...

hebu njoo.......halafu si unajua kuna zile dokumentsi tulitakiwa tubadilishane.....hivi imekuwaje.......?
 
Pole nsaa hebu na wewe jichunguze kwanini wankufanyia hivyo pengine na wewe una matatizo. Naamin huku utawapata coz arusha kuna Wana Jf wengi tu .
 
Pole nsaa hebu na wewe jichunguze kwanini wankufanyia hivyo pengine na wewe una matatizo. Naamin huku utawapata coz arusha kuna Wana Jf wengi tu .[Binafsi kwa upande wangu sina tatizo maana wanaonionyesha hizo ni wale niliowazoea
 
Punguza huo usiriazi utapata marafiki
Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu ambacho sipendi kitokee! Ningependa kuwa na kampani kwa maana ya marafiki na si lingine! Yaan nimekua mkiwa sababu ya ubinafsi ninaoonyeshwa na jamaa zangu! Hivyo naitaji kampani yako sana pls Niko Arusha! KARIBUNI!
 
Back
Top Bottom