Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
nimekupata mkuu!
Jitahidi kujichanganya kwenye majukwaa mengine pia...uwe hata waingia JF Jokes, Chitchat, MMU, Photo na hata kule Sports kama wewe ni mpenzi wa michezo...hiyo itakupelekea kujenga mazoea ya urafiki na watu wengi hapa jukwaani.
Lakini ukipiga kambi kule utaishia kuwa ni mtu mwenye hasira na kukereka mara kwa mara...