Mkuu mshahara ni ngapi nijitose?Jamani mbona tunakatishana tamaa Watanzania wenzangu , tunasaidiana kama hivi ila watu wanaongea vitu vya kero sana ππ ... Kwa hali hii tutaendelea kugawana tenda kwa undugu asee, maana duuh bado kidogo nifute yani ni kama nimetukana mahali. Hii post nimekopy na kupaste labda inamakosa mnasema.
Au mnataka dada zetu waendelee kuzagaa zagaa mitaani jamani. eeh?
Hiyo Peasant mentality unamanisha usafi wako sio muhimu kuliko kazi yako.....Barack Obama alikua anajiandalia chai asubuhi wewe uko bzy kuliko Obama watu wenye peasant background mnasjmbua sanaa mkifika Town nakupata vihela kdgo.Suala sio kushindwa kufanya ngoja nikupe somo .... Ukijua umuhimu wa muda , utajua jinsi ya kuutumia. Muda wa kufanya hizi kazi ninaweza nikafanya kazi zangu na kuingiza fedha zaidi hilo kwangu ni muhimu zaidi ... kama si hivyo ungemkuta MO, na Bakhresa wapo busy na usafi wa nyumba zao kila siku.
Nyumba ni kubwa ya vyumba 3, seble , dining, jiko, public , master , uwanja sq700+ .
Tambua umuhimu wa muda , pesa inatafutwa tu. Muda haurudi nyuma.
Akiwa madarakani amaHiyo Peasant mentality unamanisha usafi wako sio muhimu kuliko kazi yako.....Barack Obama alikua anajiandalia chai asubuhi wewe uko bzy kuliko Obama watu wenye peasant background mnasjmbua sanaa mkifika Town nakupata vihela kdgo.
Umeshindwa kuelewa na umesoma kwa jazba relax kwanza ...Hiyo Peasant mentality unamanisha usafi wako sio muhimu kuliko kazi yako.....Barack Obama alikua anajiandalia chai asubuhi wewe uko bzy kuliko Obama watu wenye peasant background mnasjmbua sanaa mkifika Town nakupata vihela kdgo.
Si ndio mkuuππkwamba mwamba aanike mbupu lifanyiwe trimming huku angle zikizingatiwaππ
Nimeoa na nina mtoto mbona nimeeleza kuwa mke wangu hayupo sababu ya uzazi ... Na mimi nimebanwa mno siwezi kuacha nyumba chafu.We mswahili na muhuni utafuta mwanamke kijanja bila mahari
Shindikanaa na hela sasaππ
π€£π€£π€£π€£ Ngoja nitume passport.Shindikanaa na hela sasaππ
Nawewe nikupe kazi πPesa kidogo ushaanza kuajiri watu ovyo ovyo
Tangazo huwezi kulifunga,ukishapost kitu chochote JF basi kinakua sio mali yako tena,this thread will be here forever.Picha imewekwa option si kwa nia ya uaminifu. Kwangu mimi ni vyema kumjua mtu kwa picha kabla sijaonana naye , sababu sitakuwa na interview yoyote. Kama akishindwa kutuma basi sio kazi ya kubembelezwa wenye nia watatuma.
Nawashukuru sana pia ambao wamenicheki nadhani nitalifunga tu tangazo. Asanteni wapondaji pia π
Nime edit π«€Tangazo huwezi kulifunga,ukishapost kitu chochote JF basi kinakua sio mali yako tena,this thread will be here forever.
Unazijua sheria za JF lakini?Nime edit π«€
Nawewe nikupe kazi