Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

Jamani mbona tunakatishana tamaa Watanzania wenzangu , tunasaidiana kama hivi ila watu wanaongea vitu vya kero sana 😂😂 ... Kwa hali hii tutaendelea kugawana tenda kwa undugu asee, maana duuh bado kidogo nifute yani ni kama nimetukana mahali. Hii post nimekopy na kupaste labda inamakosa mnasema.

Au mnataka dada zetu waendelee kuzagaa zagaa mitaani jamani. eeh?
Mkuu mshahara ni ngapi nijitose?

Cc shindikana
 
Suala sio kushindwa kufanya ngoja nikupe somo .... Ukijua umuhimu wa muda , utajua jinsi ya kuutumia. Muda wa kufanya hizi kazi ninaweza nikafanya kazi zangu na kuingiza fedha zaidi hilo kwangu ni muhimu zaidi ... kama si hivyo ungemkuta MO, na Bakhresa wapo busy na usafi wa nyumba zao kila siku.

Nyumba ni kubwa ya vyumba 3, seble , dining, jiko, public , master , uwanja sq700+ .

Tambua umuhimu wa muda , pesa inatafutwa tu. Muda haurudi nyuma.
Hiyo Peasant mentality unamanisha usafi wako sio muhimu kuliko kazi yako.....Barack Obama alikua anajiandalia chai asubuhi wewe uko bzy kuliko Obama watu wenye peasant background mnasjmbua sanaa mkifika Town nakupata vihela kdgo.
 
Akiwa madarakani ama
 
Umeshindwa kuelewa na umesoma kwa jazba relax kwanza ...

Kama umesoma post yangu nimekuwa specific na vitu gani nahitaji msaada , au umeona kuna mahali nimesema nije kuogeshwa na kuoshwa miguu?

Barack Obama hilo ni suala personal haimaanishi anafanya kazi zote za ndani kwake au yeye hana house maid? Kama anapenda kujiandalia chai ni kitu personal.

Na mimi nikisema napenda kuosha gari yangu mwenyewe nitakosea?

Suala la "Peasant" umeliwaza wewe na negative mindset yako, mimi najali kuokoa muda , nina mambo ambayo sio rahisi kupata msaada na ndiyo maana nimefocus huko yale ambayo naweza kuokoa muda na kupata msaada basi nitafanya hivyo kama sehemu ya mimi kukua.
 
Tabia chafu Sana unachafanya wewe Kijana

Hautafanikiwa hapa sio Facebook.
 
We mswahili na muhuni utafuta mwanamke kijanja bila mahari
 
We mswahili na muhuni utafuta mwanamke kijanja bila mahari
Nimeoa na nina mtoto mbona nimeeleza kuwa mke wangu hayupo sababu ya uzazi ... Na mimi nimebanwa mno siwezi kuacha nyumba chafu.

Kaka mimi kama ningekuwa nashida ya wanawake sikuwa na haja ya kuja humu. Kuna bar na vilabu huko.

Lakini mnanifanya nicheke sana humu , nilitaka nilitoe tangazo sababu nimeshapata wa kutosha now niko interview 😂..
 
Picha imewekwa option si kwa nia ya uaminifu. Kwangu mimi ni vyema kumjua mtu kwa picha kabla sijaonana naye , sababu sitakuwa na interview yoyote. Kama akishindwa kutuma basi sio kazi ya kubembelezwa wenye nia watatuma.

Nawashukuru sana pia ambao wamenicheki nadhani nitalifunga tu tangazo. Asanteni wapondaji pia 😂
Tangazo huwezi kulifunga,ukishapost kitu chochote JF basi kinakua sio mali yako tena,this thread will be here forever.
 
Back
Top Bottom