Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nataka za pharmacy mkuu mkongo matapeli wengi wanauza ungaMkongo
Mzee acha tu Leo ninywe hizi dawa huyu demu nimempania sana na Kwa hii mashine yangu ataelezaKijana huwezi kuikomoa punani, hapo ni unajimaliza wewe, kadiri kisu kinavyonolewa ndivyo kinavyoisha.
Sijakuelewa mkuu kwamba ukitumia huwezi acha yaani kama Mimi nataka Leo tuViagra although ukitumia countdown ndio ishaanza
Mkuu acha tunhuyu mwanamke kala hela zangu sana Leo kanasa ataimba makomborero labda nisimate hizo dawaNyege hizo!!
Saa mbili asubuhi anakujaAnakuja saa ngapi au upo nae ili nikutajie dawa
Mkuu unajua uchungu wa Hawa wanawake Wala hela halafu hawatoi mchezo siku wakinasa huwezi kuuliza hili swali nahasira naeKwmba nguvu zako binafsi hazitoshi?
Vinauzwa Bei ganiKuna vile vidonge kama Panadol vimeandikwa enjoy
Ilikuwa buku nadhani sijajua kwa sasaVinauzwa Bei gani
Ukiliwa pesa na usipewe mchezo hutasema hiviUnashindana na ulipotokea??
Vipi ni uhakika vipo vizuriIlikuwa buku nadhani sijajua kwa sasa