Nahitaji dawa nzuri ya kusisimua misuli ya uume kusimama mda mrefu bila kumwaga inayopatikana Pharmacy

tadalafil vs viagra:
Tadalafil (Cialis) and sildenafil (Viagra) are both highly effective PDE5 inhibitors for erectile dysfunction, with similar safety profiles. The primary differences are duration and timing: Tadalafil lasts up to 36 hours and can be taken daily, while Sildenafil works for 4–6 hours, typically taken 30–60 minutes before activity.

Key Comparisons:
Duration: Tadalafil (36 hours) vs. Sildenafil (4–6 hours).
Onset: Sildenafil usually works faster (30–60 mins) than Tadalafil (1–2 hours).

Usage: Tadalafil can be taken as needed or daily; Sildenafil is usually taken only as needed.
Food Impact: A fatty meal can delay Sildenafil, whereas Tadalafil is less affected.

Side Effects: Both may cause headaches and flushing. Tadalafil is more likely to cause back/muscle aches, while Sildenafil may cause temporary, slight blue-tinted vision.

Which to Choose?
Tadalafil (Cialis): Best for spontaneity, allowing for activity over a longer period (often called "the weekend pill").
Sildenafil (Viagra): Best for planned sexual activity due to its faster onset and shorter duration.

Both medications require a prescription and can interact with heart/blood pressure medications.

Vizuri ukitumia baada ya ushauri wa daktari. Hasa kama una shida ya presha ya damu au shida ya uume kukunja pembeni yaani kuelekea upande ukisimamisha.
 
Kuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Angalia usije tapika wewe mdau.
Mbususu haikamiwi.
Anaweza kuja na ukute inacheua
 
Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
MWAROBAINI

Chemsha majani 40 ya Neem Tree (Mwa40) muda wa dakika 15 mpaka 20
Chuja dawa weka kwenye Vikombe 2
Kunywa VIKOMBE 2 vya Vuguvugu

Kiutaratibu unatakiwa kunywa kikombe 1 tu ili usiue kiungo chako cha uzazi, usiue figo, usiue ini ila sababu wewe unataka Booster kunywa vikombe 2 kisha nenda kapige game yako utakuja kutusimulia
 
Ulimpa kwa ridhaa yako, hakukunyang'anya, ni uboya wako kutoa pesa hovyo.

Na utazikumbuka kizo pesa, kumkaza sana hakuondoi ukweli kwamba umezidi kuufanya uzee wako uwe mgumu(najua hutanielewa)
Kama ni GT atakuelewa
 
tadalafil vs viagra:
Tadalafil (Cialis) and sildenafil (Viagra) are both highly effective PDE5 inhibitors for erectile dysfunction, with similar safety profiles. The primary differences are duration and timing: Tadalafil lasts up to 36 hours and can be taken daily, while Sildenafil works for 4–6 hours, typically taken 30–60 minutes before activity.

Key Comparisons:
Duration: Tadalafil (36 hours) vs. Sildenafil (4–6 hours).
Onset: Sildenafil usually works faster (30–60 mins) than Tadalafil (1–2 hours).

Usage: Tadalafil can be taken as needed or daily; Sildenafil is usually taken only as needed.
Food Impact: A fatty meal can delay Sildenafil, whereas Tadalafil is less affected.

Side Effects: Both may cause headaches and flushing. Tadalafil is more likely to cause back/muscle aches, while Sildenafil may cause temporary, slight blue-tinted vision.

Which to Choose?
Tadalafil (Cialis): Best for spontaneity, allowing for activity over a longer period (often called "the weekend pill").
Sildenafil (Viagra): Best for planned sexual activity due to its faster onset and shorter duration.

Both medications require a prescription and can interact with heart/blood pressure medications.

Vizuri ukitumia baada ya ushauri wa daktari. Hasa kama una shida ya presha ya damu au shida ya uume kukunja pembeni yaani kuelekea upande ukisimamisha.
Mkuu Football umesoma hii?
 
Kuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Unamaanisha unataka umchubue? maana hamna namna nyingine ya kumkomoa hapo. Kwenye kuchubuana kuna madhara mengi kwake na kwako pia naamini umeshakubaliana nayo. Okay dawa inaitwa sildenafil...wingi wa mg inategemeana na uzito, hali ya moyo wako nk...kama moyo hauko sawa usishangae tukakuona kwenye ITV
 
Kuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Utapata gono bure plus U.T.I na kifungashio AIDS nunua viagra famasi zipo
 
Kuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Kawaambie nataka Viagra
 
Tadalafil au Cialis inakaa masaa mengi hadi siku mbili.
Sildenafil au Viagra inakaa masaa machache.
Kwa kazi yako tumia Viagra.
Zingatia ushauri wa daktari hasa kama unatatizo la presha kupanda.
Au uume wako unapinda pembeni ukisimama.
Sawa mkuu inachukua mda Gani kufanya kazi baada ya kuinywa
 
"Homa Ya Ini"....Tafuta Viagra Upate Na Ushauri Dhabiti Kabla Ya Matumizi​
 
Back
Top Bottom