Nahitaji dawa nzuri ya kusisimua misuli ya uume kusimama mda mrefu bila kumwaga inayopatikana Pharmacy

Nahitaji dawa nzuri ya kusisimua misuli ya uume kusimama mda mrefu bila kumwaga inayopatikana Pharmacy

Mkuu unajua uchungu wa Hawa wanawake Wala hela halafu hawatoi mchezo siku wakinasa huwezi kuuliza hili swali nahasira nae
Ulimpa kwa ridhaa yako, hakukunyang'anya, ni uboya wako kutoa pesa hovyo.

Na utazikumbuka kizo pesa, kumkaza sana hakuondoi ukweli kwamba umezidi kuufanya uzee wako uwe mgumu(najua hutanielewa)
 
Pumbavu. Ngono haijawahi kuwa na bingwa bosi. Amka kafanya kazi uingize kipato.

Narudia tena we maskini jielewe. Ngona haijawahi kuwa na mshindi wala bingwa wake.

Pambana, linda afya na nguvu zako ambazo ni mtaji wa sasa na wa baadaye.
Huu siyo ushauri aliyo omba.
Ameomba jina la dawa.
Msichukue majukumu ya wazazi wake na viongozi wake wa dini.
Mtajie dawa mwambie na madhara yake inatosha.
 
Back
Top Bottom