AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Masaa manne mtu kadinda tu halafu kuna kima inasema haikomolewi hivyo huikomoi oya 4 hours kitu inatwangwa tu labda km na yeye kameza ValiumVizuri ukitumia baada ya ushauri wa daktari. Hasa kama una shida ya presha ya damu au shida ya uume kukunja pembeni yaani kuelekea upande ukisimamisha.