Ambrose Koller
Senior Member
- Oct 13, 2024
- 127
- 119
Kuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni
Fanya mazoez ya kegel kijana achana na madawaKuna mwanamke alikua anakula pesa zangu Sasa Leo kaingia line nataka dawa yeyote ya kusisimua misuli ya uume anaisaidie nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo nataka Leo azitapike pesa zangu wakuu nisaidieni