Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Huyu jamaa wa mananasi na maji mengi amenichekesha sana.Et mtu anakwambia kula nanasi 😀😀
Humu kila mtu na mbinu yake ambayo yeye mwnyw anajua haifanyi kazi 😂
Yn kama huna nguvu za kiume option rahisi na inayofanya kazi kwa wakati n madawa tuu ila ndo hvy n kwa muda maalum na zingine zina madhara
Kama huna n huna tuu, mambo ya vyakula na mazoezi n kudanganyana