Nahitaji dawa nzuri ya kusisimua misuli ya uume kusimama mda mrefu bila kumwaga inayopatikana Pharmacy

Verdenafil chukua io ni hatari sana ingia ata gugo kimoja buku2
 
Kama ni mchovu ni mchovu tu.

Hako madawa ni ka muda tu ebu tafuta mbinu zingine.

Kula vizuri, piga zoezi na tafuta hela vijisenti vya kufukuzia warembo visikusumbue akili.
 
1. Katika maisha pambana na palipokupitisha

2. Hii ya kubust, inaweza pelekea mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida, mishipa ya damu kupasuka na kupelekea kifo cha kufia juu ya kifua cha hawa viumbe

3. Usishindane na mwanamke utakata moto

4. Unaposugua sana eneo lile kwa muda mrefu bila mautundu ndivyo unakaribisha magonjwa mtambuka ya afya.

5. Usizoee hayo mabust kama unataka kuwa na familia baadaye
-usizoee hayo mabust kama unataka kuwa unaenjoy na kujilamba
 
Unaweza kukuta mto mada alishazikwa tangu jana, sasa hv wadudu huko chini wanakula madawa ya kuongeza nguvu za kiume zilizosalia kutoka kwa jamaa 😂
 
Nmesoma comments nyingi za wadau, kila mtu na mbinu yake.

Kuna hawa wa kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya asili kama vyakula, mazoezi n.k

Hawa watu huwa wananichekeshaga sana 😂 mana hata wao wanajua kabisa hizo njia hazifanyi kazi ila kutwa kujitia matumaini.

Kuna hawa wa kutumia madawa, kwa hawa sina shida nao mana dawa zinafanya kazi serious ila ndio hvy haziponyeshi kiujumla.

Hii ishu ya nguvu za kiume ni kama zawadi kutoka kwa Sir God, kama huna itabaki kuwa huna tuu, hata ufanye nn itabaki huna tuu 😂
 
Usitukatishe tamaa tuna subir mtoa mada afufuke alete mrejesho 😂😂😂
 
Et mtu anakwambia kula nanasi 😀😀
 
Usitukatishe tamaa tuna subir mtoa mada afufuke alete mrejesho 😂😂😂
Mtoa mada ndo imetoka hvy 😂

K n kama rubber band inavutika kadri mtumiaji anavyotaka, mtoa mada alisahau hilo
 
Back
Top Bottom