Nahitaji dawa nzuri ya kusisimua misuli ya uume kusimama mda mrefu bila kumwaga inayopatikana Pharmacy

Nahitaji dawa nzuri ya kusisimua misuli ya uume kusimama mda mrefu bila kumwaga inayopatikana Pharmacy

Na venga ipo kundi gani hapo?
Ni mdogo wake huyo niliemtaja hio Venga inadumu masaa manne tu imeisha kazi inabidi u-renew tena upya kila baada ya masaa 4 na Venga ukipiga inaanza kazi hapohapo chuma kinasimama unapiga mzigo safi, sasa hio mkubwa wa kazi ukimeza unasubiri masaa 2 km unakula nyama choma au kitimoto masaa 2 mzigo unakua full charge tayari kwenda kuisugua nyuchi kwa muda wa masaa 36 yaan siku 1 na masaa 12 ngoma humu tu ukigusa kitu hiki hapa wewe tu ushindwe mwenyewe na pumzi zako ila hakikisha haufi, tumia weekends sio siku za week utanishukuru
 
Hapa nimekupata kumbe venga, erecto na enjoy ni za masaa manne tu ila za masaa 36 ni zile bidhaa za Tadalafil. Sasa kimadhara ipi ina madhara zaidi kati ya hiyo ya masaa manne na ya masaa 36?
 
Sasa kimadhara ipi ina madhara zaidi kati ya hiyo ya masaa manne na ya masaa 36?
Hakuna yenye madhara zaidi ila kabla ya kutumia lazima upimwe mwili wako je unafaa kutumia hizo dawa ndio daktari akuandikie moja kati ya hizo utumie, maana km una matatizo ya figo, ini, moyo zinaweza zikakuletea shida, km unajiamini upo fit chukua Tadalafil itakufaa zaidi ila nakusisitiza sana hakikisha haufi yaan usikamie sana zinaweza zikakuchukua mazima uwe makini ukipiga mzigo usikamie sana piga haste haste tu
 
Mzee acha tu Leo ninywe hizi dawa huyu demu nimempania sana na Kwa hii mashine yangu ataeleza
Mashine yenyewe mpaka ya kuboost! Bure kabisa! Sisi wenzio wakati tukiwa na umri wako Manzi mpaka zilikuwa zinakimbia show, unasikia manzi inasema nene noyaga lulu!
 
Kumbe jamaa yupo hai ila hataki kuleta mrejesho kwanini?
Last seen ni dakika 58 zilizopita
IMG_20260224_081921.jpg
 
Unamaanisha unataka umchubue? maana hamna namna nyingine ya kumkomoa hapo. Kwenye kuchubuana kuna madhara mengi kwake na kwako pia naamini umeshakubaliana nayo. Okay dawa inaitwa sildenafil...wingi wa mg inategemeana na uzito, hali ya moyo wako nk...kama moyo hauko sawa usishangae tukakuona kwenye ITV
😅😅😅
 
Back
Top Bottom