Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 348
- 688
- Thread starter
-
- #21
Nashukuru boss! Developers 6 tena wenye degree zao wameomba hii nafasi na tena wametuma sample ya kazi zao, hao wanaoendelea kulia lia kwamba pesa ni ndogo sawa, mi sina neno.Hapa ndo huwa naona tunafeli kwenye eneo la ajira
Imagine kwa sasa hutengenezi hela yoyote upo nyumbani, pengine hata una mwaka nyumbani hujapata ajira bado laki 4 inaonekana ndogo
Si bora hata upate pa kushindia na kudisplay skill yako...na hapa na milango ya connection itakapoanzia
ntoe hapo chap, muache Uboboh
Nilikuwa nahitaji developers wa Frontend, backend, API, database, Mobile application. Nimeshapata wote, techs ambazo tutatumia ni PHP, Python, Flutter, React, Next JS, MONGO DB, na (HTML, CSS, JS)Ni technology gani mmesuggest itatumika kwenye web?(au itategemea na skillsets za team utayopata na trending technologies).
Vipi sehemu ya uzoefu unaohitajika au hata beginners?
Haha! Sawa sawantoe hapo chap, muache Uboboh
mie ni fundi umeme sanifu
Ni kweli kaka, wameshakuja na tunajiandaa ili July tuanze kazi. Ndani ya miezi 2/3 tutaleta mrejesho hapa wa baadhi ya kazi tulizofanya, lakini pia ndani ya miezi 6 hao walionitafuta watakuwa wakichekelea kwa malipo mapya!Wengi tunafeli hapo kwenye kutaka pesa kubwa bila kufanya project, developers walio serious watakuja PM kwako brother
Boss hata kwa 700k per month huwez pataMshahara utaongezwa boss, hiyo ni mwanzo tu ili tuone utendaji kazi wao. Ndomana hatutawaandikia mkataba hadi wakamilishe hiyo project moja tuwaone, then mkataba mdogo wa miezi 6 kwa mshara wa laki 4, na baada ya hapo tunaweza kuwalipa hadi laki 7 muhimu wafanye kazi nzuri boss.
Nishapata kakaBoss hata kwa 700k per month huwez pata
Ni kweli, mimi naangalia ujuzi wa hao niliopata, muhimu wanaweza kufanya ninachokihitaji. Mengine watajifunza mbele kwa mbele.Coding is an art brah bt kwa Newbee utapata maana watapatia experience hapohapo na instead ov that itabid uongeze mpunga
Yea ni kwel bossNi kweli, mimi naangalia ujuzi wa hao niliopata, muhimu wanaweza kufanya ninachokihitaji. Mengine watajifunza mbele kwa mbele.
Wengi akili zao zipo kama walivyokua kabla ya kupata elimuHapa ndo huwa naona tunafeli kwenye eneo la ajira
Imagine kwa sasa hutengenezi hela yoyote upo nyumbani, pengine hata una mwaka nyumbani hujapata ajira bado laki 4 inaonekana ndogo
Si bora hata upate pa kushindia na kudisplay skill yako...na hapa na milango ya connection itakapoanzia
Mwenyezi Mungu awe juu yenuNi kweli kaka, wameshakuja na tunajiandaa ili July tuanze kazi. Ndani ya miezi 2/3 tutaleta mrejesho hapa wa baadhi ya kazi tulizofanya, lakini pia ndani ya miezi 6 hao walionitafuta watakuwa wakichekelea kwa malipo mapya!
Amina sana! 🙏Mwenyezi Mungu awe juu yenu
Hata Elon Musk kipindi anaanza aliambiwa haya maneno, nashukuru brother... Siku nitakapoanza kufanyiwa interviews nitaorodhesha comment yako ionekane live ili izidi kuwajenga vijana wanaoonekana wana wazimu kwa kupambania ndoto zao.Bila shaka una wazimu
Nilipata, na wala sijawatimua. Mambo mazuri hayahitaji haraka! Siku ya kushangaza watu (hasa wa hapa JF) inakuja.Ni imani yangu uliwapata na yayari ushawatimua
Shukran boss!💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure
⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!.
📞Tupigie: 0780 707 771
NetFasta
💨 Tumezingatia Speed Na Security:
✔️ NVMe SSD Storage
✔️ LiteSpeed Server
✔️ Unlimited Bandwidth
✔️ Imunify360 (Malware Detection and Removal)
✔️ Free SSL Certificates .