Nahitaji diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi

Eee cha haja

Mie mwenyewe sikukuu zikiisha naanza diet

Nina mpango wa kufast juice siku tatu kila wiki kwa wiki nne
Kureplace dinner na juice kwa siku mbili kwa wiki ndani ya wiki nne

Na kupunguza carbohydrates +fats

Kisipopungua baaasi namwachia Mungu
 
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.

Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
Mumy Fanya tu mazoezi kitapungua hizi diet hutaziweza
 
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.

Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
Mambo yote yapo kwenye sayansi ya mapishi tu kwa Dr. Boaz Mkumbo ukimfollow huyu hutajuta
 
Muulizeni Wema Sepetu amefanyeje kupungua kwa muda mfupi.
 
Njia rahisi ni kufanya mazoezi sana ..then kula chakula kidogo
Week 1 tu ...utaona mabadiliko makubwa
 
Kula matunda mchana na usiku. Asubuhi pata chai ya tangawizi yenye sukari kwa mbali na andazi/muogo/chapati moja na ufanye mazoezi....
Nimefanikiw kupunguza kilo 10 ila imenichukua muda kidogo na uvumilivu...
 
Mie mwenyewe sikukuu zikiisha naanza diet

Nina mpango wa kufast juice siku tatu kila wiki kwa wiki nne
Kureplace dinner na juice kwa siku mbili kwa wiki ndani ya wiki nne

Na kupunguza carbohydrates +fats

Kisipopungua baaasi namwachia Mungu
Hahaahah. Lol eti namwachia Mungu... Eeh Mi nimegain like 4kg.. Nimeanza leo water fast... Nitafanya as long as I can withstand... Day one tu kakitambi kalikosababishwa na kula sana junks wakati wa Christmas kameshuka.. Nataka nirudi zangu kwenye 65....
 
Dawa ya diet rahisi ni kushindwa kulipa deni la mwanamke wa kizaramo.
 
Hahaahah. Lol eti namwachia Mungu... Eeh Mi nimegain like 4kg.. Nimeanza leo water fast... Nitafanya as long as I can withstand... Day one tu kakitambi kalikosababishwa na kula sana junks wakati wa Christmas kameshuka.. Nataka nirudi zangu kwenye 65....

Aaah mie bado nakula kidogo
 
Aaah mie bado nakula kidogo
Hahahhahhaha... Yaani wewe usinikumbushe.. Maana during Christmas si nimekula kama nahama.. Tarehe 27 kuangalia nimeongezeka katumbo kamevimba kwa msosi... Hahahhahhaha nikasema hell no.. Lazima nifanye water fast... Leo siku ya pili at least mzani umesogea nimepata relief na katumbo kameanza kuwa nomo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha diet wala nn hapo ni trak na raba full zoezi kitambi tupa kule
 
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.

Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
Mbona wamama zetu wa zamani hawakua na vitambi
 
Hahahhahhaha... Yaani wewe usinikumbushe.. Maana during Christmas si nimekula kama nahama.. Tarehe 27 kuangalia nimeongezeka katumbo kamevimba kwa msosi... Hahahhahhaha nikasema hell no.. Lazima nifanye water fast... Leo siku ya pili at least mzani umesogea nimepata relief na katumbo kameanza kuwa nomo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Water fast ndo inakuaje mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wamama zetu wa zamani hawakua na vitambi

Wamama wapi hao?
Au kwa vile walikua wanajifunga matenge?

Wanawake Mara nyingi tumbo linakuja kutokana na umri ama kujifungua

Hizo factor nyingine hazina mchango mkubwa sana
 
Hamie geto kwangu nikupiga jaramba la wiki tu tumbo lote kwishaa
 
Back
Top Bottom