Nahitaji diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi

sikuzote ka unadhamira ya kufanya jambo lazima ulifanyie utafiti wa kina, mfano nini chanzo cha kitambi? ukishajua ndo waanzisha vita na kisababishi, nikushauri hebu jaribu kula vyakula ambavyo havisababishi umwagaji wa insulini kwa wingi then epuka vyakula vinavyohifadhiwa katika mfumo wa mafuta baada ya mmeng'enyo wa mwisho.
Maelezo mazuri sn ila yametuacha njiapanda wengne hatuna uelewa wa vtu ulivyozungumza hivyo ingependeza ukafafanua zaid kutuelewesha
 
sawa, kiufupi vyakula vingi vya wanga na sukari zote ndio vyakula viletavyo uzito mwingi pia kunenepesha, wanga ikisha meng'enywa hupatikana glucose ambayo hutumika mwilini inayobaki inabadilishwa kuwa mafuta then inahifadhiwa katika mfumo wa mafuta katika mwili wa binadamu, kiufupi ukitaka kupunguza unene lazima upunguze vyakula vya wanga na sukari ila ukitaka upate matokeo ya haraka lazima uviache kabisa kwa muda wa miezi mitatu, najua utaniuliza nile nini? kweli ni changamoto maana wengi tumezoea wanga zaidi, ila ukipata vyakula vyote vya protein, mafuta, mboga za majani, na matunda yasiyo na sukari mfano matango na parachichi utapata matokeo haraka then hutuweza kuwa na nyama zilizolegea maana mwili unapungua taratibu tofauti na wale wanaotumia dawa, kiufupi chakula ndo dawa pia chakula ndo sumu pindi usipokuwa na sayansi ya kula.
 
Umeeleweka vzr mkuu
 
Unaweza hata usifanye mazoezi shindia juice alafu kula mlo mmoja kwa siku.matunda hayanenepeshi hata ule vp
 
kweli kabisa milo mingi si salama sana kwa wale watakao kupunguza uzito au unene
 
Hivi jamani hakunaga diet simple kwa sie wenye kupunguza vitambi Maana diet nyingi utasikia asubuhi kunywa fresh juice ya appe sijui tikiti, mchana kula kuku au samaki,Jioni anataja vikorokoro akina sie hata hatuvijui.

Hivi jaman hakunaga diet ya sie wala matembele?
KUNA KITU KINAITWA intermitent diet kula mara mbili kwa siku Saa 2 usiku hadi kesho saa 6 mchana siku ya pili at lest skip 26 hrs wvsry day
 
Back
Top Bottom