JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Ipsum new Model vs Toyota Wish
Thread starterKINGSLEE
Start dateSep 8, 2018
WATCH
KINGSLEE
JF-Expert Member
Sep 8, 2018
#1
Wadau nataka kununuwa gari mojawapo kati ya hizo hivyo naomba msaada wakujua ni gari ipi nzuri kati ya hizo.
Nimelenga kumiliki Family car with 4 silinda na bajeti yangu ni 15m.
Nielimishe..
1) Idadi ya watu kukaa
2) Ukubwa wa Engine
3) Uimara wake
4) Upatikanani wa spear
5) Ipi ina status nzuri zaid kwenye jamii
6) Ulaji wa Mafuta ukoje
7) Changamoto zake or Mapungufu yake
8) Mengineyo
LikeQuoteReply
Report
Likes:mtzmweusi
Abuu Said
JF-Expert Member
Sep 8, 2018
#2
Naomba niongelee Ipsum ndio naijua zaidi
1) 7 mbele 2 kati 3 hadi 4 nyuma 2 hadi 3
2) engine ya Kawaida 4 cylinders
3) imara kuliko wish body yake haichakai haraka
4) spea zipo nyingi tu
5) ipsam ina status nzuri kuliko wish
6) 4 cylinder haili sana mafuta
7) Nakushauri usichague ya chini sana chagua iliyopanda kidogo juu uta enjoy
LikeQuoteReply
Report
Likes:KINGSLEE
Bila Bila
JF-Expert Member
Sep 8, 2018
#3
Abuu Said said:
Naomba niongelee Ipsum ndio naijua zaidi
1) 7 mbele 2 kati 3 hadi 4 nyuma 2 hadi 3
2) engine ya Kawaida 4 cylinders
3) imara kuliko wish body yake haichakai haraka
4) spea zipo nyingi tu
5) ipsam ina status nzuri kuliko wish
6) 4 cylinder haili sana mafuta
7) Nakushauri usichague ya chini sana chagua iliyopanda kidogo juu uta enjoy
Click to expand...
Am chukua ushauri wako hatajuta.
LikeQuoteReply
Report
KINGSLEE
JF-Expert Member
Sep 8, 2018
#4
Abuu Said said:
Naomba niongelee Ipsum ndio naijua zaidi
1) 7 mbele 2 kati 3 hadi 4 nyuma 2 hadi 3
2) engine ya Kawaida 4 cylinders
3) imara kuliko wish body yake haichakai haraka
4) spea zipo nyingi tu
5) ipsam ina status nzuri kuliko wish
6) 4 cylinder haili sana mafuta
7) Nakushauri usichague ya chini sana chagua iliyopanda kidogo juu uta enjoy
Click to expand...
Nashkuru mkuu
Ivi Cc zake ni sawa na za wish au tofauti
Ulaji wa mafuta ukoje
LikeQuoteReply
Report
Abuu Said
JF-Expert Member
Sep 8, 2018
#5
KINGSLEE said:
Nashkuru mkuu
Ivi Cc zake ni sawa na za wish au tofauti
Ulaji wa mafuta ukoje
Ipsum kubwa kidogo cc yake kuliko wish na inabeba mzigo mkubwa kuliko wish
LikeQuoteReply
Report
Likes:KINGSLEE
Steveachi
JF-Expert Member
Sep 8, 2018
#6
usifananishe ipsum na vitu vya kijinga mkuu
LikeQuoteReply
Report
Likes:mtzmweusi
KINGSLEE
JF-Expert Member
Sep 9, 2018
#7
Abuu Said said:
Ipsum kubwa kidogo cc yake kuliko wish na inabeba mzigo mkubwa kuliko wish
Shukran sana mkuu kwahiyo hata ulajibwake wa Mafuta utakuwa ni mkubwa.
LikeQuoteReply
Report
New Nytemare
JF-Expert Member
Sep 9, 2018
#8
Abuu Said said:
Ipsum kubwa kidogo cc yake kuliko wish na inabeba mzigo mkubwa kuliko wish
idadi ya watu ni sawa tu mzee
LikeQuoteReply
Report
Adharusi
JF-Expert Member
Sep 11, 2018
#9
Mtume na picha habari zivutie
LikeQuoteReply
Report
Likes:mtzmweusi
Mtzmweusi
JF-Expert Member
Sep 11, 2018
#10
Mnyama huyo nimeagiza kwa 13m
[
https://www]
[
https://www]
LikeQuoteReply
Report
Likes:Abuu Said, KINGSLEE and Adharusi
Adharusi
JF-Expert Member
Sep 11, 2018
#11
mtzmweusi said:
Mnyama huyo nimeagiza kwa 13m View attachment 862779 View attachment 862780
Hapa sasa habari imenoga, Kuna picha
LikeQuoteReply
Report
Likes:mtzmweusi
S
Salari
JF-Expert Member
Sep 11, 2018
#12
mtzmweusi said:
Mnyama huyo nimeagiza kwa 13m View attachment 862779 View attachment 862780
Mnyama mtamu sana huyu kwa matumizi ya familia ila tatizo ana mabampa yanaifanya gari kuwa chini na sijajua kama inawezekana kuyatoa then ukaweka ya kawaida! halafu binafsi napenda ya 4WD maana kwenye matope hukwami! Ila Toyota noma sana injini ya hii ipsum ndiyo hiyo hiyo ipo kwenye baadhi ya rav 4, alphard, harrier, klugger, camry!!! n.k ndo maana Toyota kukosa spare sio rahisi
LikeQuoteReply
Report
Likes:Abuu Said, wa kupuliza and mtzmweusi
KINGSLEE
JF-Expert Member
Sep 15, 2018
#13
mtzmweusi said:
Mnyama huyo nimeagiza kwa 13m View attachment 862779 View attachment 862780
Sasa bandarini kodi yake utaiweza?
Je ukiamua kununulia hapa hapa Tz kwa hivisasa Ipsum bei yake ni ngapi?
LikeQuoteReply
Report
Cc2500
Member
Sep 19, 2018
#14
Nimependa namba 5- status kwenye jamii, wengi hili hawalitazami, lakini lina mantiki sana, most huwa wanaulizia only ulaji wa mafuta,
LikeQuoteReply
Report
Share:FacebookTwitterGoogle+RedditWhatsAppEmailLinkTelegramInstagram
Remove formatting
BoldItalicUnderline
Text colorFont size
Insert linkInsert imageSmiliesInsert
AlignmentList
UndoRedo
Toggle BB code
Write your reply...
POST REPLY PREVIEW
ATTACH FILES
Edit avatar
Karot
JF-Expert Member
Messages456Likes338Trophy points80
FORUM STATISTICS
THREADS1,211,884
MEMBERS461,168
POSTS28,419,275
FACEBOOKTWITTERTELEGRAMINSTAGRAM
JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)
Previous
WHO WE ARE
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
You are always welcome!
Read more...
WHERE ARE WE?
We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.
Contact us now...
DISCLAIMER
JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
Read more...
FORUM RULES
JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly.
Read more...
PRIVACY POLICY
We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy.
Proceed here...
Next
Contact us
Terms and rules
JamiiForums' Privacy Policy
Help
Up to top