Nahitaji family car kwa bajeti ya tsh 14 milioni

Nahitaji family car kwa bajeti ya tsh 14 milioni

JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Ipsum new Model vs Toyota Wish

Thread starterKINGSLEE

Start dateSep 8, 2018

WATCH

KINGSLEE

JF-Expert Member

Sep 8, 2018

#1

Wadau nataka kununuwa gari mojawapo kati ya hizo hivyo naomba msaada wakujua ni gari ipi nzuri kati ya hizo.
Nimelenga kumiliki Family car with 4 silinda na bajeti yangu ni 15m.

Nielimishe..
1) Idadi ya watu kukaa
2) Ukubwa wa Engine
3) Uimara wake
4) Upatikanani wa spear
5) Ipi ina status nzuri zaid kwenye jamii
6) Ulaji wa Mafuta ukoje
7) Changamoto zake or Mapungufu yake
8) Mengineyo

LikeQuoteReply

Report

Likes:mtzmweusi

Abuu Said

JF-Expert Member

Sep 8, 2018

#2

Naomba niongelee Ipsum ndio naijua zaidi
1) 7 mbele 2 kati 3 hadi 4 nyuma 2 hadi 3
2) engine ya Kawaida 4 cylinders
3) imara kuliko wish body yake haichakai haraka
4) spea zipo nyingi tu
5) ipsam ina status nzuri kuliko wish
6) 4 cylinder haili sana mafuta
7) Nakushauri usichague ya chini sana chagua iliyopanda kidogo juu uta enjoy

LikeQuoteReply

Report

Likes:KINGSLEE

Bila Bila

JF-Expert Member

Sep 8, 2018

#3

Abuu Said said:

Click to expand...

Am chukua ushauri wako hatajuta.

LikeQuoteReply

Report

KINGSLEE

JF-Expert Member

Sep 8, 2018

#4

Nashkuru mkuu
Ivi Cc zake ni sawa na za wish au tofauti
Ulaji wa mafuta ukoje

LikeQuoteReply

Report

Abuu Said

JF-Expert Member

Sep 8, 2018

#5

KINGSLEE said:

Nashkuru mkuu
Ivi Cc zake ni sawa na za wish au tofauti
Ulaji wa mafuta ukoje

Ipsum kubwa kidogo cc yake kuliko wish na inabeba mzigo mkubwa kuliko wish

LikeQuoteReply

Report

Likes:KINGSLEE

Steveachi

JF-Expert Member

Sep 8, 2018

#6

usifananishe ipsum na vitu vya kijinga mkuu

LikeQuoteReply

Report

Likes:mtzmweusi

KINGSLEE

JF-Expert Member

Sep 9, 2018

#7

Abuu Said said:

Ipsum kubwa kidogo cc yake kuliko wish na inabeba mzigo mkubwa kuliko wish

Shukran sana mkuu kwahiyo hata ulajibwake wa Mafuta utakuwa ni mkubwa.

LikeQuoteReply

Report

New Nytemare

JF-Expert Member

Sep 9, 2018

#8

Abuu Said said:

Ipsum kubwa kidogo cc yake kuliko wish na inabeba mzigo mkubwa kuliko wish

idadi ya watu ni sawa tu mzee

LikeQuoteReply

Report

Adharusi

JF-Expert Member

Sep 11, 2018

#9

Mtume na picha habari zivutie

LikeQuoteReply

Report

Likes:mtzmweusi

Mtzmweusi

JF-Expert Member

Sep 11, 2018

#10

Mnyama huyo nimeagiza kwa 13m

[https://www]

[https://www]

LikeQuoteReply

Report

Likes:Abuu Said, KINGSLEE and Adharusi

Adharusi

JF-Expert Member

Sep 11, 2018

#11

mtzmweusi said:

Mnyama huyo nimeagiza kwa 13m View attachment 862779 View attachment 862780

Hapa sasa habari imenoga, Kuna picha

LikeQuoteReply

Report

Likes:mtzmweusi

S

Salari

JF-Expert Member

Sep 11, 2018

#12

mtzmweusi said:

Mnyama huyo nimeagiza kwa 13m View attachment 862779 View attachment 862780

Mnyama mtamu sana huyu kwa matumizi ya familia ila tatizo ana mabampa yanaifanya gari kuwa chini na sijajua kama inawezekana kuyatoa then ukaweka ya kawaida! halafu binafsi napenda ya 4WD maana kwenye matope hukwami! Ila Toyota noma sana injini ya hii ipsum ndiyo hiyo hiyo ipo kwenye baadhi ya rav 4, alphard, harrier, klugger, camry!!! n.k ndo maana Toyota kukosa spare sio rahisi

LikeQuoteReply

Report

Likes:Abuu Said, wa kupuliza and mtzmweusi

KINGSLEE

JF-Expert Member

Sep 15, 2018

#13

mtzmweusi said:

Mnyama huyo nimeagiza kwa 13m View attachment 862779 View attachment 862780

Sasa bandarini kodi yake utaiweza?
Je ukiamua kununulia hapa hapa Tz kwa hivisasa Ipsum bei yake ni ngapi?

LikeQuoteReply

Report

Cc2500

Member

Sep 19, 2018

#14

Nimependa namba 5- status kwenye jamii, wengi hili hawalitazami, lakini lina mantiki sana, most huwa wanaulizia only ulaji wa mafuta,

LikeQuoteReply

Report

Share:FacebookTwitterGoogle+RedditWhatsAppEmailLinkTelegramInstagram

Remove formatting

BoldItalicUnderline

Text colorFont size

Insert linkInsert imageSmiliesInsert

AlignmentList

UndoRedo

Toggle BB code

Write your reply...

POST REPLY PREVIEW

ATTACH FILES

Edit avatar

Karot

JF-Expert Member

Messages456Likes338Trophy points80

FORUM STATISTICS

THREADS1,211,884

MEMBERS461,168

POSTS28,419,275

FACEBOOKTWITTERTELEGRAMINSTAGRAM

JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Previous

WHO WE ARE

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
You are always welcome!

Read more...

WHERE ARE WE?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.

Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

FORUM RULES

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly.

Read more...

PRIVACY POLICY

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy.

Proceed here...

Next

Contact us

Terms and rules

JamiiForums' Privacy Policy

Help

Up to top
 
Toyota ISIS Platana, 1.8L 1ZZ-FE engine itakufaa, ni gari nzuri sana kwa familia. Kwa vile umesema hutaki gari inayobwia mafuta, gari inayokula 1l kwa 12km sio mbaya.

La sivyo nunua IST, Starlet, Vitz etc kwa economy ya mafuta kwa asilimia kubwa sana.
Umeambiwa gari ya family sasa ivyo vi lunch box na Hoho vinaingiaje hapo ,

Mwambie hapo haende kwa Toyota Noah, Vox
 
Umeambiwa gari ya family sasa ivyo vi lunch box na Hoho vinaingiaje hapo ,

Mwambie hapo haende kwa Toyota Noah, Vox

Sasa ukitaka family car unatarajia gari gani mkuu? Voxy, Noah, Isis, ndio family cars lakini zinakula wese na huyu anataka fuel efficient...

Ila asante wajina.
 
Nissan X-trail

Toyota Ipsum

Toyota Alphard ( ila hii ni zaidi ya 14M ) halafu pia cc 2300+ hivi...
 
Chukua Toyota fielder ya 2009 iko economical sana engine ni cc1490 mpaka cc1790! Usipoipenda chukua toyota isis nayo ni family car yenye engine kama hizo halafu ina nafasi zaidi!
 
Chukua TOYOTA ALPHARD, cc2400. Ukiagiza JAPAN itakugharimu 15m-17m ila unaweza pata kwa mtu kwa 14m. Mojawapo ya magari mazuri kwa familia za huku ulimwengu wa tatu
Ipsum 2.4 ni bora zaidi, alphard maboksi sana.
20181016_203334.png

20181016_203409.png

Perfect for your family, siti ya nyuma kabisa ni convertible.
 
Family car nzuri noah iwe old au new model na kwa pesa hyo unapata mpya show room

Pia waweza check toyota wish

Alphard pia ni nzuri ila ulaji wa mafuta ni mkubwa zaidi ya hizo hapo juu

Pia iko Toyot isis
 
Chukua TOYOTA ALPHARD, cc2400. Ukiagiza JAPAN itakugharimu 15m-17m ila unaweza pata kwa mtu kwa 14m. Mojawapo ya magari mazuri kwa familia za huku ulimwengu wa tatu
Mimi ninayo alphad ya mwaka 2005 iko vizuri nauza 14.5 aje PM kama bado anahitaji
 
Habar zenu Wadau
Baba mkwe wangu kaniagiza kuwa anahitaji kununuwa gari ya family car ana bajeti ya milion 14 tu.
Sifa za gari hiyo ni;
1) Iwe ni 4 cylinder
2) Haili mafuta mengi
3) Imara
4) Spear zake ziwe zinapatikana kiurahisi

KIMSINGI SINA ELIMU SANA YA MAGARI HIVYO NAOMBA MSAADA WENU WA MAWAZO ILI NIMPATIYE MAJIBU AWEZE KUKAMILISHA NDOTO ZAKE
Kwa TSH,10ml tu
 
Attachments

  • JOHN PIC FILE 605.jpg
    JOHN PIC FILE 605.jpg
    91.4 KB · Views: 65
Toyota ISIS Platana, 1.8L 1ZZ-FE engine itakufaa, ni gari nzuri sana kwa familia. Kwa vile umesema hutaki gari inayobwia mafuta, gari inayokula 1l kwa 12km sio mbaya.

La sivyo nunua IST, Starlet, Vitz etc kwa economy ya mafuta kwa asilimia kubwa sana.
Hata Mimi namshauri hiyo gari ni nzuri sana
 
Nataka kujua isis viti vyake vinakunjikaje .
 
Back
Top Bottom