Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Mapenzi yana nguvu jamani hata simshangai hii hali imeshawahi kunitokea na mimiAlikukuna ukakunika kunako mtanange bila shaka
Umerogwa sio bure. Hivi mtu afanyeje ili ujue hakupendi hata kidogo yani sina hata la kusema umerogwaNilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO

Duuh pole..tafuta kitu ambacho kitakufnya uwe bize. Maisha lazima yaendlee Hilo nalo litapitaNilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
weembona uliachwa ukafosi kurudi?mnafiki mkubwa wewe unashauri kitukilicho kushinda wewe mwenyeweMi niliposoma heading nikajua mahusiano serious watu wameachana hadi nikapata huzuni kumbe ushubwada.
Wa kupendana naye ndio huyo? Hata pole hustahili mwaya, saa hizi unatakiwa kupiga goti la shukrani kwa Mungu usonge mbele.
Hiyo kamwe ni kilugha?🤣Maumivu ya nini sasa wewe naye ebu kamwe Pepsi, shida mnaonyeshwa mapema ila kulazimisha mambo tulizana
Usimuache mwanaume wa hivyo soon atakuwa wakwako peke yako pia punguza wivu HUYO MWANAUME ANARUHUSIWA HADI WANAWAKE 4 VUMILIANENI MAMBO YATAKAA SAWANilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
Vincenzo Jr njoo umrekebishe bibi yako hukuKing'ng'anizi tafuta mume muoane. Unajuwaje kama hauna maradhi? Umepima?
Unaokolewa kuyenda dhambi bado unang'ania tu. Fanya toiba utulizane umrudie Muumba wako.
Hivi maadili mema yamekwenda wapi tanzania hii? Halafu ndiyo tutegemee watoto wema kwa mwanamke kama wewe usiye na haya wala soni?
Njoo nikufariji basiFumanizi la waziwazi
Bibi unafoka sanaKing'ng'anizi tafuta mume muoane. Unajuwaje kama hauna maradhi? Umepima?
Unaokolewa kuyenda dhambi bado unang'ania tu. Fanya toiba utulizane umrudie Muumba wako.
Hivi maadili mema yamekwenda wapi tanzania hii? Halafu ndiyo tutegemee watoto wema kwa mwanamke kama wewe usiye na haya wala soni?
❌KuyendaKing'ng'anizi tafuta mume muoane. Unajuwaje kama hauna maradhi? Umepima?