Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

Umeamua
Umeamua kuuita msiba mzito utakutesa ili kuepuka hiyo kwanza ukubali umeachwa kisha jipige kifua kwamba unanafasi nyingine pia
 
Pole ila nikupe ushauri muhimu.
1.kaa kama mwezi kisha pima afya yako ili ujue amemuacha salama au la.
2.Mfute kabisa kwenye kumbukumbu zako na focus na ishu zingine.
3.Ukipata penzi jipya ondoa matarajio makubwa wanaume sisi sio kila tunayemtongoza huwa tunampenda au kuna wakati ukishampata mtu unakuja kugundua sio mahala safi tunasepa.
4.Jichunguze na wewe kama uko sawa kwenye matendo yako kwa mwenza wako na kama kuna shida jirekebishe.
5.Mwisho ukiwa na mahusiano na mwanaume usiwe kama ruba sometime tunahitaji nafasi sio muda wote kung'ang'aniana.
 
Asante
Umeamua

Umeamua kuuita msiba mzito utakutesa ili kuepuka hiyo kwanza ukubali umeachwa kisha jipige kifua kwamba unanafasi nyingine pia
Sawa nitalifanyia kazi
Umeamua

Umeamua kuuita msiba mzito utakutesa ili kuepuka hiyo kwanza ukubali umeachwa kisha jipige kifua kwamba unanafasi nyingine pia
Nimeshajipiga kifua kuwa ninayo nafasi nyingine, mimi ni wathamani sana hata X akifa sitahudhuria msiba wake
 
Pole sana mama njoo kwangu nikupe tulizo la moyo na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…