Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
🤣🤣🤣Hakuna cha fimbo ya mbali, kitendo cha kukukatalia usiende kwake ni wazi hakutaki, ila ukajifanya mama mapendo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Hakuna cha fimbo ya mbali, kitendo cha kukukatalia usiende kwake ni wazi hakutaki, ila ukajifanya mama mapendo,
Umeamua kuuita msiba mzito utakutesa ili kuepuka hiyo kwanza ukubali umeachwa kisha jipige kifua kwamba unanafasi nyingine piaNilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
Kabisaaa.!! Hundred parce 😹😹😹Hahahahaha, ya kweli haya Rafiki ?
Hahahahaha...haya bana...chalii ya chuga mmesalimieKabisaaa.!! Hundred parce 😹😹😹
Yupi tena huyo?? Unajua nilipata ajali kumbukumbu zimepotea 😹😹😹Hahahahaha...haya bana...chalii ya chuga mmesalimie
Ukweli unakuuma? Ingawa mchungu, meza tu.Wee mdada nimekustahi sasa unaleta shobo! Tulia huko
Hahahahaha, pole sana kweli ajali ilikua mby mpk umepoteza kumbukumbu ya mtu wake ,aiseeeYupi tena huyo?? Unajua nilipata ajali kumbukumbu zimepotea 😹😹😹
😹😹😹 Hapa sikumbuki chochote zaidi ya jina languHahahahaha, pole sana kweli ajali ilikua mby mpk umepoteza kumbukumbu ya mtu wake ,aiseee
Mmmmh, hahahahaha, aisee siku zinaenda mbio sana..😹😹😹 Hapa sikumbuki chochote zaidi ya jina langu
AsantePole ila nikupe ushauri muhimu.
1.kaa kama mwezi kisha pima afya yako ili ujue amemuacha salama au la.
2.Mfute kabisa kwenye kumbukumbu zako na focus na ishu zingine.
3.Ukipata penzi jipya ondoa matarajio makubwa wanaume sisi sio kila tunayemtongoza huwa tunampenda au kuna wakati ukishampata mtu unakuja kugundua sio mahala safi tunasepa.
4.Jichunguze na wewe kama uko sawa kwenye matendo yako kwa mwenza wako na kama kuna shida jirekebishe.
5.Mwisho ukiwa na mahusiano na mwanaume usiwe kama ruba sometime tunahitaji nafasi sio muda wote kung'ang'aniana.
Sawa nitalifanyia kaziUmeamua
Umeamua kuuita msiba mzito utakutesa ili kuepuka hiyo kwanza ukubali umeachwa kisha jipige kifua kwamba unanafasi nyingine pia
Nimeshajipiga kifua kuwa ninayo nafasi nyingine, mimi ni wathamani sana hata X akifa sitahudhuria msiba wakeUmeamua
Umeamua kuuita msiba mzito utakutesa ili kuepuka hiyo kwanza ukubali umeachwa kisha jipige kifua kwamba unanafasi nyingine pia
A.K.A king'ang'aHakuna cha fimbo ya mbali, kitendo cha kukukatalia usiende kwake ni wazi hakutaki, ila ukajifanya mama mapendo,
Dah! Usiombe yakukute mkuuA.K.A king'ang'a
Pole sana mama njoo kwangu nikupe tulizo la moyo na akili.Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
Asante mkuuPole sana mama njoo kwangu nikupe tulizo la moyo na akili.
Hivi tuko mwaka gani?? 😹😹😹Mmmmh, hahahahaha, aisee siku zinaenda mbio sana..