Nahitaji freezer la kilo 400

Nahitaji freezer la kilo 400

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu Habari

Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400

Naitaji jipya sio mtumba,

Mwenye nalo tafadhali ni_PM niko Dar es Salaam
 
Andaa kunzia laki 4.
Ukiwa nayo kwwnye mfuko wa shati nishtue tufanye biashara
 
Hivi mkuu umemuelewa lakini??mimi nafahami ukubwa wa friji/frizer unapimwa kwa ujazo(lita)sasa huyo anataka lenye uwezo wa kilo 400, karibia nusu tani!!!unasema aandae kuanzia laki 4???!!!!
 
Kilo 400 unazijua?

Anahitaji kununua freezer lenye uwezo wa kubeba kiasi alichotaji

Sasa atalipata bure ndugu zangu?

Ndio nikamwambia aandae Tshs laki 4 na kuendelea ili alipate!!
 
Wakuu Habari

Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400

Naitaji jipya sio mtumba,

Mwenye nalo tafadhali ni_PM niko Dar es Salaam

Wewe huwezi kupata Freezer yenye uwezo huo bali unatakiwa kutafuta Cold Room Facility ambayo inakua na contena lake.

Halafu ujazo huo wa Kilo 400 ni equivalent na lita 400 kwahiyo watu msi complicate sana kwenye SI Unit.
 
Kilo 400 ni equivalent na lita 400, hesabu za wapi hizi bwashee!![emoji848]
 
Nikibishana na wewe nitaonekana mpumbavu

1611816763516.png
 
Wakuu Habari

Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400

Naitaji jipya sio mtumba,

Mwenye nalo tafadhali ni_PM niwako wa samaki hautoshi!!!

Anahitaji kununua freezer lenye uwezo wa kubeba kiasi alichotaji

Sasa atalipata bure ndugu zangu?

Ndio nikamwambia aandae Tshs laki 4 na kuendelea ili alipate!!
Kweli inaweza ikawa sahihi mtu akiuliza nataka kununua v8!nikamwambia bwana itabidi uandae kama milioni tano na kuendelea?!!!SIO SAHIHI, hesabu za makadilio hapa zitakuwa na shida!!
 
no offense, but wewe ndio mpumbavu

1kg to 1L ni kwa MAJI PEKEE ( tena yale distilled ) bwashee
Mosi: Kwahiyo nikiwa na pamba 1kg na hayo maji 1 liter kuna tofauti?

Pili: Nikiwa na samaki 1kg na hayo maji yako distilled 1 liter kuna tofauti?

Amekwambia anataka yenye uwezo wa kuhifadhi kg400 iwe ni samaki, nyama, au madawa ameshamaliza kesi yake. Ukitaka equivalent yake katafute hayo maji yako distilled fanya mlinganyo wako uone kama kuna tofauti.

Umetumia nazi kujibu badala ubongo wako sababu hakuna mahala nimesema ni lita ya maji, mafuta, asali au petrol?

Siku nyingine tumia akili kidogo kujibu na msaidie mleta mada ni wapi atapata freezer ya kg400 period.
 
Pili: Nikiwa na samaki 1kg na hayo maji yako distilled 1 liter kuna tofauti?
ndio kuna tofauti huoni ni vitu viwili vyenye densities tofauti ? au ulikimbia umande ? au wewe ni HKL ?

acha umataga
 
Ooooh poor you nasikitika kuhairisha mjadala huu sababu inawezekana you are running mad.

Tumia basi common sense kidogo we jamaa.

1Kg ya samaki na 1litre ya distilled water ni tofauti sababu ya density? Seriously!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Duuh kwahiyo mizani haiwezi kubalance?

Oooh Lord have Mercy kama mie wa HKL naweza toa knock out kichwa ya PCM
 
Back
Top Bottom