Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andaa kunzia laki 4.Wakuu Habari
Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400
Naitaji jipya sio mtumba,
Mwenye nalo tafadhali ni_PM niko Dar es Salaam
Andaa kunzia laki 4.
Ukiwa nayo kwwnye mfuko wa shati nishtue tufanye biashara
Hivi mkuu umemuelewa lakini??mimi nafahami ukubwa wa friji/frizer unapimwa kwa ujazo(lita)sasa huyo anataka lenye uwezo wa kilo 400, karibia nusu tani!!!unasema aandae kuanzia laki 4???!!!!Andaa kunzia laki 4.
Ukiwa nayo kwwnye mfuko wa shati nishtue tufanye biashara
Kilo 400 unazijua?
Anahitaji kununua freezer lenye uwezo wa kubeba kiasi alichotajiHivi mkuu umemuelewa lakini??mimi nafahami ukubwa wa friji/frizer unapimwa kwa ujazo(lita)sasa huyo anataka lenye uwezo wa kilo 400, karibia nusu tani!!!unasema aandae kuanzia laki 4???!!!!
Wakuu Habari
Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400
Naitaji jipya sio mtumba,
Mwenye nalo tafadhali ni_PM niko Dar es Salaam
Wewe huwezi kupata Freezer yenye uwezo huo bali unatakiwa kutafuta Cold Room Facility ambayo inakua na contena lake.
Halafu ujazo huo wa Kilo 400 ni equivalent na lita 400 kwahiyo watu msi complicate sana kwenye SI Unit.
Nikibishana na wewe nitaonekana mpumbavuKilo 400 ni equivalent na lita 400, hesabu za wapi hizi bwashee!![emoji848]
Wakuu Habari
Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400
Naitaji jipya sio mtumba,
Mwenye nalo tafadhali ni_PM niwako wa samaki hautoshi!!!
Kweli inaweza ikawa sahihi mtu akiuliza nataka kununua v8!nikamwambia bwana itabidi uandae kama milioni tano na kuendelea?!!!SIO SAHIHI, hesabu za makadilio hapa zitakuwa na shida!!Anahitaji kununua freezer lenye uwezo wa kubeba kiasi alichotaji
Sasa atalipata bure ndugu zangu?
Ndio nikamwambia aandae Tshs laki 4 na kuendelea ili alipate!!
usishangae, uyo ni dalaliunasema aandae kuanzia laki 4???!!!!
no offense, but wewe ndio mpumbavu
Mosi: Kwahiyo nikiwa na pamba 1kg na hayo maji 1 liter kuna tofauti?no offense, but wewe ndio mpumbavu
1kg to 1L ni kwa MAJI PEKEE ( tena yale distilled ) bwashee
ndio kuna tofauti huoni ni vitu viwili vyenye densities tofauti ? au ulikimbia umande ? au wewe ni HKL ?Pili: Nikiwa na samaki 1kg na hayo maji yako distilled 1 liter kuna tofauti?
Ooooh poor you nasikitika kuhairisha mjadala huu sababu inawezekana you are running mad.ndio kuna tofauti huoni ni vitu viwili vyenye densities tofauti ? au ulikimbia umande ? au wewe ni HKL ?
acha umataga
Kwanini usiagize China?Wakuu Habari
Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400
Naitaji jipya sio mtumba,
Mwenye nalo tafadhali ni_PM niko Dar es Salaam