Nahitaji fundi Dar mwenye uwezo wa urembo Gypsum kama huu

Nahitaji fundi Dar mwenye uwezo wa urembo Gypsum kama huu

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
20200308_111130.jpg
20200308_111102.jpg
nilipita sehemu mwaka juzi nikaona Ceiling nzuri kama hii. Nilipiga picha.

Watalaam twambieni inahitaji makario kiasi gani cha pesa Sitting room kama hii.

Fundi kama yupo tuanze kazi as soon as possible
 
Makorokoro yote hayo na nini mkuu [emoji276]ama unataka kuwa unaota unakimbizwa na wachawi!

Kabisa hayo makorokoro yanaishiwa fashion haraka halafu nyumba inakua kama ya mwanakijiji au mshamba fulani hivi wakati siku hizi urembo ni only simple with one colour isiyoumiza macho kabisa nyumba inakua safi sana
 
Karibu uhudumiwe boss kwa detail za mwanzo huo.urembo unahusisha kutumia Sana unga unaitwa supersina yan fast finish ndo unafyatua hizo round na mikanda yake kwa kutengenezea mod kiufup gypsum board zibatumika chache Sana call/WhatsApp 0757735884 au tembelea Instagram page yetu Kama highland_decor_solution kaz tunakufanyia saf na kwa bei nafuu tuna punguzo la 30&kwenye labour charge zetu karibu uhudumiwe
 
Makorokoro yote hayo na nini mkuu [emoji276]ama unataka kuwa unaota unakimbizwa na wachawi!
Mkuu umeniwahi. There is beauty in simplicity ndio maana nyumba nyingi hasa za wenzetu zuna vitu ambavyo vina flat surfaces bila mapambo yaliyopitiliza na zinavutia. Kuanzia makabati, vitanda sijui meza, kuta za nyumba.
Lakini pia ngoja atimize haja ya moyo wake ila mimi big no
 
Mkuu umeniwahi. There is beauty in simplicity ndio maana nyumba nyingi hasa za wenzetu zuna vitu ambavyo vina fla surfaces bila mapambo yaliyopitiliza na zinavutia. Kuanzia makabati, vitanda sijui meza, kuta za nyumba.
Lakini pia ngoja atimize haja ya moyo wake ila mimi big no

Mimi ni muumini wa vitu simple,swala la nyumba kugeuka counter za baa ama disco toto hapana [emoji851]
 
Karibu uhudumiwe boss kwa detail za mwanzo huo.urembo unahusisha kutumia Sana unga unaitwa supersina yan fast finish ndo unafyatua hizo round na mikanda yake kwa kutengenezea mod kiufup gypsum board zibatumika chache Sana call/WhatsApp 0757735884 au tembelea Instagram page yetu Kama highland_decor_solution kaz tunakufanyia saf na kwa bei nafuu tuna punguzo la 30&kwenye labour charge zetu karibu uhudumiwe
Well nitakuja kwako. Asante sana
 
Back
Top Bottom