Nahitaji fundi Dar mwenye uwezo wa urembo Gypsum kama huu

Nahitaji fundi Dar mwenye uwezo wa urembo Gypsum kama huu

Hivi sebule saizi ya kati ikipigwa bodi plain kabisa bila madoido, halafu ikawa ina vitaa vichache tu vya kuingia ndani ya bodi (ceiling light) mfano kwenye kila kona ya sebule haipendezi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom