Nahitaji fundi Dar mwenye uwezo wa urembo Gypsum kama huu

Mh hivi mtu wa kanda ya ziwa na ma taa taa wanaweza kutengana kweli?
 
Reactions: EEX
0717 792 566 mchek huyu alinifanyia kwangu! Wapo vizuri
 
๐Ÿ˜€ kweli tuko tofauti, sebleni nimepiga 'plain' , mwendo mdundo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nyumba inawakawaka makorokoro kama toys store ...
 
Mpaka yanaumiza macho ...Marangi kiboa sio smart
 
Yani na mi sjawahi kuelewa watu wanaopenda maurembo ya hvyo asee
Mi mwenyewe sitaki makorokoro mengi kama hayo unaweza kudhani uko pub nataka kitu plain white tu sitaki kona wala ngazi.Ingawa kila mtu na chaguo lake .
 
Huo urembo hua tunautafsiri tofauti unakuta mtu alienda club akaona design za mitaataa nae kaweka kwake na mwingine alipoona akaenda kuweka kwake tatizo huanzia hapo, Angalia hata pavement za wazungu hua ni plain kabisa hazina mambo mengi, mazingira ya maisha ya binadamu huhitaji coolness ambayo ni pamoja na cool colours sio crazy colours,
 
Yani na mi sjawahi kuelewa watu wanaopenda maurembo ya hvyo asee
Acha mkuu nilimtembelea jamaa mmoja ni Fundi Magari anagereji yake nakwenda kuservice Gari kwake hadi tumekuwa marafiki.
Alinialika kwenye ubatizo wa mtoto.
Jamaa karemba sebule showcase ya tv imesukwa TV imewekwaje sijui ,maurembo ya juu, taa za juu zimesetiwa kidesign ila Kwa kweli ni nzuri sana.
nikamuuliza hii finishing kwenye sebule imecost sh ngapi akaniambia zaidi ya 20 m.
Nikamwambia kweli kwenye maisha tuna mitazamo na tastes tofauti. Nikamwambia mi siwezi kuremba hivyo nyumba.
Mi binafsi ninauwezo wa kuweka huo urembo kwenye nyumba yangu ninayoishi lakini siwezi kufanya .
I like mean life kama wajapan
 
Yani na mi sjawahi kuelewa watu wanaopenda maurembo ya hvyo asee
Hakika mimi pia huwa nashangaa sana nina majirani zangu karibu wote wameweka hayo madudu kila nikifikiria uzuri wake sioni alafu yanakula nafasi sebule inaonekana ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ