Nahitaji G/Pixel 4 ama 5...Nishauri kwa sifa na uwezo kati ya hizi.

Nahitaji G/Pixel 4 ama 5...Nishauri kwa sifa na uwezo kati ya hizi.

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,190
Reaction score
2,508
Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google..
Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili...

Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6.
Mwisho nipate uchanganuzi wa gharama zake.

ASANTE NA WASILISHA NIKO PEMBENI..
 
1.Nimetumiwa Pixel 6A 128 GB 490,000 used from Dubai

2.Pixel 6 Pro 128 GB 640k

3.Pixel 4 boxed 128gb-400k

4.Pixel xl boxed 64gb-490000

Wakuu nishaurini hapo kati ya hizo ipi itakuwa nzuri kwangu
 
1.Nimetumiwa Pixel 6A 128 GB 490,000 used from Dubai

2.Pixel 6 Pro 128 GB 640k

3.Pixel 4 boxed 128gb-400k

4.Pixel xl boxed 64gb-490000

Wakuu nishaurini hapo kati ya hizo ipi itakuwa nzuri kwangu
Binafsi kwa hizo bei ningechukua 6A, much better camera, bado ipo supported, modern cpu, overall better specification.

Sema ukaaji chaji kawaida, ina tabia ya kupata joto.
 
1.Nimetumiwa Pixel 6A 128 GB 490,000 used from Dubai

2.Pixel 6 Pro 128 GB 640k

3.Pixel 4 boxed 128gb-400k

4.Pixel xl boxed 64gb-490000

Wakuu nishaurini hapo kati ya hizo ipi itakuwa nzuri kwangu
Chukua 6A
 
ungekuwa huna shauku na izo pixel ninge kushauri uchukue sony
 
Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google..
Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili...

Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6.
Mwisho nipate uchanganuzi wa gharama zake.

ASANTE NA WASILISHA NIKO PEMBENI..
Chukua 8 au subiri mwezi wa 8 utaipata pixel 9, kiboko ya iphone. Achana na hizo za zamani. Ni nzuri lakini bado walikuwa hawajajipata.
 
Wakuu baada ya research fupi nimeona nichukue Redmi note 12
Redmi note 12
256gb/8gb ram=545,000/=
5000mAh
50MP main camera
13MP selfie Came
Amoled display
4G
Side fingerprint
Snapdragon 685 processor

Chief mkwawa aje tafadhali...

nataka niishi humo
 
Hii ndo naitumia mwezi wa 4 au 5 sasa. Sijutii, naenjoy tu. Ila sio kwa bei hiyo.
 
Chukua Zile techno zenye macho matatu hutajutia na chenchi itabaki kaka.
 
Back
Top Bottom