General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Pixel 3 ndio master, pixel za zamani pia zinazima ghafla.chukua 4a
5 kuja juu zinashida ya hardware, kuzima ghafla
Binafsi kwa hizo bei ningechukua 6A, much better camera, bado ipo supported, modern cpu, overall better specification.1.Nimetumiwa Pixel 6A 128 GB 490,000 used from Dubai
2.Pixel 6 Pro 128 GB 640k
3.Pixel 4 boxed 128gb-400k
4.Pixel xl boxed 64gb-490000
Wakuu nishaurini hapo kati ya hizo ipi itakuwa nzuri kwangu
So mkuu hapo ipi itanifaa ndugu yanguPixel 3 ndio master, pixel za zamani pia zinazima ghafla.
Chukua 6A1.Nimetumiwa Pixel 6A 128 GB 490,000 used from Dubai
2.Pixel 6 Pro 128 GB 640k
3.Pixel 4 boxed 128gb-400k
4.Pixel xl boxed 64gb-490000
Wakuu nishaurini hapo kati ya hizo ipi itakuwa nzuri kwangu
Chukua 8 au subiri mwezi wa 8 utaipata pixel 9, kiboko ya iphone. Achana na hizo za zamani. Ni nzuri lakini bado walikuwa hawajajipata.Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google..
Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili...
Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6.
Mwisho nipate uchanganuzi wa gharama zake.
ASANTE NA WASILISHA NIKO PEMBENI..
Hii ndo naitumia mwezi wa 4 au 5 sasa. Sijutii, naenjoy tu. Ila sio kwa bei hiyo.Wakuu baada ya research fupi nimeona nichukue Redmi note 12
Redmi note 12
256gb/8gb ram=545,000/=
5000mAh
50MP main camera
13MP selfie Came
Amoled display
4G
Side fingerprint
Snapdragon 685 processor
Chief mkwawa aje tafadhali...
nataka niishi humo
amaHii ndo naitumia mwezi wa 4 au 5 sasa. Sijutii, naenjoy tu. Ila sio kwa bei hiyo.
Mimi nilinunua 460k mwezi wa pili mwaka huu. Lakin na hapo nilikuja kugundua bado nilipigwa. Hiyo bei uloitaja labda kwa version ya 5g.Bei ni kama ngap
ama
Poa bhanaa nimepigwa kama laki nzima aeeMimi nilinunua 460k mwezi wa pili mwaka huu. Lakin na hapo nilikuja kugundua bado nilipigwa. Hiyo bei uloitaja labda kwa version ya 5g.