Nahitaji gari toleo la Land Rover 109

Nahitaji gari toleo la Land Rover 109

Nenda Mbinga mkoani Ruvuma kule milimani kwa wakulima wa kahawa ziko kibao zimepaki tu.
 
Ndio mkuu naihitaji maana hizi za automatic zimenishinda kila nikiiacha home mke nae anakuwa dereva
Dah hii ndio sababu ya kutafuta Mandolin ? [emoji38][emoji38] umenikumbusha ukaksi wa mzee gari anaendesha mwingine mliopo ndani ni marufuku kutumia simu

Dah haya maisha haya
 
Magari ya design hiyo ukilimwagia supu ama mchuzi kama kuna MBWA PEMBENI ANALIMALIZA huwa yamechoka na kuta tamaa ila ENGINE ZAKE ZIPO VZR
 
Yaani hilo gari ukiendesha lazima steering iwe inaplay. Yani dereva unakuwa busy kupita maelezo. Ukijiroga ukaachia usukani, ghafla ukanyage kikokoto, lazima gari uikite mtaroni.
 
Nini nnazo kama mbili zipo kuna moja iko kurasini na nyingine iko msasani zote ni kino moja....0715591141 piga sim bei zake ni 3mln na nyingine ni 3.8m

Ova
Weka photo Mkuu kuna jamaa mkoani pia alikuwa anazitafuta hizo naweza kukulink
 
Mkongwe Huyu hapa
3.5m

Ova
 

Attachments

  • IMG-20170420-WA0159.jpg
    IMG-20170420-WA0159.jpg
    51.9 KB · Views: 87
  • IMG-20170420-WA0160.jpg
    IMG-20170420-WA0160.jpg
    68.4 KB · Views: 85
  • IMG-20170420-WA0161.jpg
    IMG-20170420-WA0161.jpg
    75.6 KB · Views: 94
  • IMG-20170420-WA0162.jpg
    IMG-20170420-WA0162.jpg
    80.1 KB · Views: 92
  • IMG-20170420-WA0163.jpg
    IMG-20170420-WA0163.jpg
    85 KB · Views: 83
  • IMG-20170420-WA0164.jpg
    IMG-20170420-WA0164.jpg
    77.1 KB · Views: 83
nenda kwa jamaa wa breakdown, andaa 3m mkononi.
otherwise body tupu utapata kwa 700k.
ujiandae pia kununua spana zote unazozijua wewe na nyundo nzito.
Nimecheka, Eti jamaa ajiandae na spana zote!anyway pia ajishughulishe kuwafahamu watu wa engineering maana spare zake ni za kuchonga.
 
Back
Top Bottom