mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na shida kubwa hizi gari ni TRA,nenda kwa jamaa wa breakdown, andaa 3m mkononi.
otherwise body tupu utapata kwa 700k.
ujiandae pia kununua spana zote unazozijua wewe na nyundo nzito.
Baba hyo gari ya kiume. .Hiyo gari ina pedal ngumu kishenzi
Hivi hili jina la Mandolin lilitokea wapi?
Kuna msela wangu anayo lakini ni short chases sijui wewe unataka ipi na ofa yako ni sh, ngapiKwa yeyote alie na Land Lover 109 naomba awasliane na Mimi
Hizo ndio gari, chuma mtupu! Zipo chache zinatembea bei yake juu!Mkuu, Landrover 109 naifahamu kupita maelekezo... Kwenye miaka ya 1980-90 mzee wangu alikuwa ni mkuu wa chuo na hizo gari ndio walikuwa wamepewa kila chuo... Pia mwaka 94 tulikuwa tunamiliki Landrover 109 mpaka mwaka 98 hiv. Mwaka 2001 wakati naenda driving school nilijifunzia kuendesha gari kwenye Landrover 109... So you can imagine jinsi ninavyozijua hizo gari na wala siwezi kuchanganya na 110!
Kuna gari nimeipost hapo 109 hadi stika ya Road license haidawi wala nn.......gari ni kino moja kazi kwake hyo mtakaji kama Yuko serious hiyo ndy gari inalobidi alione aikagueeeNa shida kubwa hizi gari ni TRA,
Yani ukikuta hii gari haidaiwi basi wewe ni ndugu na malaika.
Zina madeni makubwa mmmmnoo. Hasa hao jamaa wa brake down ndio huwa hawa lipi chochote.
Mbona kuna picha nmeipost ya 109 nashangaa hutoi marejesho..Picha Muhimu sana ili tujue inafaa au haifao
Unatoa Tsh ngapi?Kwa yeyote alie na Land Lover 109 naomba awasliane na Mimi
Unatafuta gari ambayo ni adimu ktk soko. lazima bei itakuwa juu. Pengine si kiasi unachofikiria. Hata kwa wenzetu walioendelea kwa gari aina ya mandolin. Kwa sasa utaipata kwenye museum tu. Na bei itakuwa juu hata kushinda land Rover ya kisasa.Sawa mkuu....ila 109...20m mkuu???duuu parefu sana hapo....ilikuwa mpya labda...ila sidhani kama bado zinatengenezwa.
Syo kweli bei zake mln3 mpaka 4 ikizidi sana 5Unatafuta gari ambayo ni adimu ktk soko. lazima bei itakuwa juu. Pengine si kiasi unachofikiria. Hata kwa wenzetu walioendelea kwa gari aina ya mandolin. Kwa sasa utaipata kwenye museum tu. Na bei itakuwa juu hata kushinda land Rover ya kisasa.
Arusha, utapata ukitembelea minada sehemu za kikatiti. King'ori na maeneo ya Meru.
Sisi wakoromije hatujui tofauti kati ya R na L tusamehe bure ila alikusudia kuandika LAND ROVER a.k.a londo lofa in kikoromije!Land Lover ndiyo magari ya aina gani?
Hii mil 10 maongezi yako kdgHiyo 110 Mkuu imesimama kwa bei gani
Hizo ni classic cars kwa sasa, ukikuta iko full restored kwa wenzetu zinakwenda hata zaidi ya 50M!Sawa mkuu....ila 109...20m mkuu???duuu parefu sana hapo....ilikuwa mpya labda...ila sidhani kama bado zinatengenezwa.