Nahitaji gari toleo la Land Rover 109

Nahitaji gari toleo la Land Rover 109

Ndio shida ya huku ukiandika mil 3 mnasema gari mbovu au ni ya wizi bei mzee ukiongea nae anapunguza
 
Ndio shida ya huku ukiandika mil 3 mnasema gari mbovu au ni ya wizi bei mzee ukiongea nae anapunguza
109 bei zake ni mln 3 hadi 5 mkuu...kuna gari nimeipost humu ila naona watu wanarukaruka TU

Ova
 
KUNA GARI NIMEIPOST NASHANGAAA HUJANIPA MAREJESHO GARI HYO NI JINO MOJA ......AU HUJALIONA ?MAANA SIKUSOMI

OVA
Nimeliona Mkuu lakini kwa jinsi lilivyo ni dhahiri limechakaa hilo linafaa kubebea majani ya Mifugo Mkuu nikiliweka barabarani naamin ile mikono ya wavaa nguo nyeupe itanisumbua sana Mkuu japo lipo full documents lakini hawatanielewa kabisa Mkuu
Ila nashukuru sana Mkuu kwa kuonyesha ushirikiano
 
Kuna jamaa apa kino anazifufua hizo Mando then anauza! Anaitwa Wakawaka kama sikosei
 
Yaani hilo gari ukiendesha lazima steering iwe inaplay. Yani dereva unakuwa busy kupita maelezo. Ukijiroga ukaachia usukani, ghafla ukanyage kikokoto, lazima gari uikite mtaroni.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nimeliona Mkuu lakini kwa jinsi lilivyo ni dhahiri limechakaa hilo linafaa kubebea majani ya Mifugo Mkuu nikiliweka barabarani naamin ile mikono ya wavaa nguo nyeupe itanisumbua sana Mkuu japo lipo full documents lakini hawatanielewa kabisa Mkuu
Ila nashukuru sana Mkuu kwa kuonyesha ushirikiano
Weka offer yako basi ya kununulia

Ova
 
Unatafuta gari ambayo ni adimu ktk soko. lazima bei itakuwa juu. Pengine si kiasi unachofikiria. Hata kwa wenzetu walioendelea kwa gari aina ya mandolin. Kwa sasa utaipata kwenye museum tu. Na bei itakuwa juu hata kushinda land Rover ya kisasa.
Arusha, utapata ukitembelea minada sehemu za kikatiti. King'ori na maeneo ya Meru.
Hahahaha, eti kwenye Museum tu!!
 
Back
Top Bottom