Nahitaji gari toleo la Land Rover 109

nenda kwa jamaa wa breakdown, andaa 3m mkononi.
otherwise body tupu utapata kwa 700k.
ujiandae pia kununua spana zote unazozijua wewe na nyundo nzito.
Na shida kubwa hizi gari ni TRA,
Yani ukikuta hii gari haidaiwi basi wewe ni ndugu na malaika.
Zina madeni makubwa mmmmnoo. Hasa hao jamaa wa brake down ndio huwa hawa lipi chochote.
 
Hizo ndio gari, chuma mtupu! Zipo chache zinatembea bei yake juu!
 
Na shida kubwa hizi gari ni TRA,
Yani ukikuta hii gari haidaiwi basi wewe ni ndugu na malaika.
Zina madeni makubwa mmmmnoo. Hasa hao jamaa wa brake down ndio huwa hawa lipi chochote.
Kuna gari nimeipost hapo 109 hadi stika ya Road license haidawi wala nn.......gari ni kino moja kazi kwake hyo mtakaji kama Yuko serious hiyo ndy gari inalobidi alione aikagueee
Kama mnunuzi hatoliachaaa

Ova
 

Attachments

  • IMG-20170420-WA0159.jpg
    51.9 KB · Views: 114
  • IMG-20170420-WA0160.jpg
    68.4 KB · Views: 132
  • IMG-20170420-WA0161.jpg
    75.6 KB · Views: 144
  • IMG-20170420-WA0162.jpg
    80.1 KB · Views: 137
  • IMG-20170420-WA0163.jpg
    85 KB · Views: 126
  • IMG-20170420-WA0164.jpg
    77.1 KB · Views: 129
Sawa mkuu....ila 109...20m mkuu???duuu parefu sana hapo....ilikuwa mpya labda...ila sidhani kama bado zinatengenezwa.
Unatafuta gari ambayo ni adimu ktk soko. lazima bei itakuwa juu. Pengine si kiasi unachofikiria. Hata kwa wenzetu walioendelea kwa gari aina ya mandolin. Kwa sasa utaipata kwenye museum tu. Na bei itakuwa juu hata kushinda land Rover ya kisasa.
Arusha, utapata ukitembelea minada sehemu za kikatiti. King'ori na maeneo ya Meru.
 
Syo kweli bei zake mln3 mpaka 4 ikizidi sana 5

Ova
 
Hiyo 110 Mkuu imesimama kwa bei gani
 
Sawa mkuu....ila 109...20m mkuu???duuu parefu sana hapo....ilikuwa mpya labda...ila sidhani kama bado zinatengenezwa.
Hizo ni classic cars kwa sasa, ukikuta iko full restored kwa wenzetu zinakwenda hata zaidi ya 50M!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…