Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Fuel economy yako ni ipi mkuu? 15k/l au?
 
Hahah hizo ni story tu mkuu,angalia hata reviews za Range rovers 5.0L V8 Supercharged na gari nyingine za dizaini hio wenye nayo wako wanalalamikia poor gas mileage/gas guzzler.
 
Hahah hizo ni story tu mkuu,angalia hata reviews za Range rovers 5.0L V8 Supercharged na gari nyingine za dizaini hio wenye nayo wako wanalalamikia poor gas mileage/gas guzzler.
Ukiona mtu analalamika manake hastahili kuwa kwenye hilo daraja,Sijawah tegemea kumwona Mo and Mengi wakilalamikia poor gar milleage kwenye Range.
 
Sijaona usema kweli ulaji wa mafuta wa Crown. Labada kama kuna Crown zingine zinazo kula wese, hata hizo V8 zake pia hazili. Sema watu washa ingiwa na wenge la wese
Majesta sijawahi hata kulipanda ila zile cc zake zinatisha aisee 🀣
 
unataka six cylinder au unataka pefomance? Fuel consumption tuiweke constant kwanza, kwa kuwa perfomance is directly proportional to performance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…