Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Katika ulaji wa wese , hazina tofauti sana. Ila kama unakata luxury tamu tamu dumbukia kwa crown, na kama utapata Hybrid hutojutia
 
Inabidi uendeshe kama IST rpm isizidi 1500! Haya ni mateso aka utumwa.
Kuna jamaa alikuwa anatumia nusu tank la lita 70 toka Moshi to Dar gari ya 2500 cc.. Yani anatumia lita 40.

Nikasubiri siku nione anavyoendesha. Jamaa havuki 2000 rpm. Anacheza na 1500 mpaka 2000.

Nikajaribu nikashindwa.

Ila watu wanaweza.
 
Ila watu
Kazi sana ku maintain hiyo. Kama una haraka. Ila kama huna haraka, mtu unapiga hiyo style.
 
Aisee, ulikanyaga pedal
Ni kawaida sana, hasa kwa siku ambazo hazina Trafic wa kutosha.. kama jumapili. Ila uhakikishe Dar es Salaam unatoka kuanzia saa 10 alafajiri, mapema tu unaipungua morogoro njia. Hesabu zangu kali huwa inikute naiacha dumila ikiwa bado mapema sana
 
Vp tochi mkuu?
 
Premio kuna ya 1490CC, 1790CC na 1990CC yako ni ipi? Ya mwaka gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejisahaulisha tayari kauli yako ya:

"Bado haujafikia wakati wa kumiliki 6 cylinders mkuu. 6 cylinders na fuel economy wapi na wapi?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noma
 
You are very correct.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…