Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
Lipia tangazoShikamooni wakubwa wote humu ndani.
Siku ya Kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu,ambaye ndiye boss wangu.alinielekeza mengi,haswa kuhusu majina na picha,akanambia kuwa si Vema kuweka picha na majina halisi.lakini haikuniingia akilini kwann nijifiche,nijibane ?
Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.
Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita Malaya,sijui natumia mkorogo,mara nimekaa kienyeji,lakini niwaambie ukweli mm sijiuzi, najiamini,nahitaji thamani nahitaji heshima.ujinga wenu pelekeni hukooo.lol
RabaikaShikamooni wakubwa wote humu ndani.

Oya mchuchu mbona una liamsha mapema hii ππKama ni wewe upo kwenye avatar hapo naweza nikaungana na wachache wanaosema unatumia mkorogo
Labda unakataa hutumii kwasababu haukudhamiria kujichubua
No offense
Ety Selikavu Razorblade na Intelligent businessman na nyie si mnaona?
Kuhusu kujiuza ngoja kidogo
Usiwaze Marry Diana kila mtu ana majanga yake humu wala usijisikie vibaya kuvunjiwa heshima, kusifiwa kwa kila kitu ni dalili ya kudharauliwa Kiuhalisia.Shikamooni wakubwa wote humu ndani.
Siku ya Kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu,ambaye ndiye boss wangu.alinielekeza mengi,haswa kuhusu majina na picha,akanambia kuwa si Vema kuweka picha na majina halisi.lakini haikuniingia akilini kwann nijifiche,nijibane ?
Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.
Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita Malaya,sijui natumia mkorogo,mara nimekaa kienyeji,lakini niwaambie ukweli mm sijiuzi, najiamini,nahitaji thamani nahitaji heshima.ujinga wenu pelekeni hukooo.lol
Nawahi kulala leo mchuchu heri niliamshe mapema ili nikilala nilaleOya mchuchu mbona una liamsha mapema hii ππ
Kitaalamu tuna ita "histrionic personality disorder"(hpd), ni janga Kweli kweli.Attention seeker.
Nyie hamuoni kama huu uandishi unafanan na Kijana Maskini Aka Tajiri sina bayaπππKama ni wewe upo kwenye avatar hapo naweza nikaungana na wachache wanaosema unatumia mkorogo
Labda unakataa hutumii kwasababu haukudhamiria kujichubua
No offense
Ety Selikavu Razorblade na Intelligent businessman na nyie si mnaona?
Kuhusu kujiuza ngoja kidogo
Nyie hamuoni kama huu uandishi unafanan na Kijana Maskini Aka Tajiri sina bayaπππ
Hapa michezo tunachezewa... Eniwei ngoja abadilishe Id aje na povuView attachment 3432575
Una dhambi sana mzee πππNyie hamuoni kama huu uandishi unafanan na Kijana Maskini Aka Tajiri sina bayaπππ
Hapa michezo tunachezewa... Eniwei ngoja abadilishe Id aje na povuView attachment 3432575
Asante sanaUsiwaze Marry Diana kila mtu ana majanga yake humu wala usijisikie vibaya kuvunjiwa heshima, kusifiwa kwa kila kitu ni dalili ya kudharauliwa Kiuhalisia.
Tuheshmiane mkuu.Nyie hamuoni kama huu uandishi unafanan na Kijana Maskini Aka Tajiri sina bayaπππ
Hapa michezo tunachezewa... Eniwei ngoja abadilishe Id aje na povuView attachment 3432575
Yaani ww ni mjingaNyie hamuoni kama huu uandishi unafanan na Kijana Maskini Aka Tajiri sina bayaπππ