Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Njoo pm nikwambie kitu mamii wa ukweli
Wewe tena 😁😁🔥🔥Kama ni wewe upo kwenye avatar hapo naweza nikaungana na wachache wanaosema unatumia mkorogo
Labda unakataa hutumii kwasababu haukudhamiria kujichubua
No offense
Ety Selikavu Razorblade na Intelligent businessman na nyie si mnaona?
Kuhusu kujiuza ngoja kidogo
😍😍😍😍Hahahahah
Kijana masikini anajiheshimu hawezi kufanya haya
😃😃😃Sawaa mark my words Comrade 😃😃😃Hahahahah
Kijana masikini anajiheshimu hawezi kufanya haya
Mchuch natumai kila kitu kiko sawa!Nawahi kulala leo mchuchu heri niliamshe mapema ili nikilala nilale
Tuheshmiane mkuu.
Sawaa broYaani ww ni mjinga
😃😃Dhambi gani mkuu nimetoa maoni yangu tuu😃Una dhambi sana mzee 😂😂😂
si Bora ungemsingizia I'd yake nyengine ni mwashambwa kuliko hii ya d 😂😂😂😃😃Dhambi gani mkuu nimetoa maoni yangu tuu😃
Ni wewe 🥺😍😍😍😍
All good mchuchuMchuch natumai kila kitu kiko sawa!
🤣😅🤣🤣 jamaniMalkia wa vita 🤣🤣
Ndio, nilileta uzi huu kuelezea kubadili kwangu ID.Ni wewe 🥺
Yaaani shwaaaa 🤣🤣😅🤣🤣 jamani
Huku JF ni sehemu ya kupashana habari, kujifunza, kupunguza msongo wa mawazo, kupata marafiki wapya, michongo ya biashara na utelezi. Sasa wewe kama watu wasiokujua wanakupa stress basi tatizo liko kwako.Shikamooni wakubwa wote humu ndani.
Siku ya Kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu,ambaye ndiye boss wangu.alinielekeza mengi,haswa kuhusu majina na picha,akanambia kuwa si Vema kuweka picha na majina halisi.lakini haikuniingia akilini kwann nijifiche,nijibane ?
Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.
Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita Malaya,sijui natumia mkorogo,mara nimekaa kienyeji,lakini niwaambie ukweli mm sijiuzi, najiamini,nahitaji thamani nahitaji heshima.ujinga wenu pelekeni hukooo.lol