makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Na Kwanini wakivunjie heshima, nawe hujamvunjia MTU heshima.
Hiyo haipendezi.
Hiyo haipendezi.
Sawaa bro
InawezekanaHuku JF ni sehemu ya kupashana habari, kujifunza, kupunguza msongo wa mawazo, kupata marafiki wapya, michongo ya biashara na utelezi. Sasa wewe kama watu wasiokujua wanakupa stress basi tatizo liko kwako.
Halafu Marry Diana kwanini haujibu pm zangu.? Ndio maana unapata taabu sana mjini changamka
AsanteNa Kwanini wakivunjie heshima, nawe hujamvunjia MTU heshima.
Hiyo haipendezi.
Piga Tena mkuu haionekani vizuri.Rabaika
Mary kama mary mshangazi ngija ngija.Shikamooni wakubwa wote humu ndani.
Siku ya Kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu,ambaye ndiye boss wangu.alinielekeza mengi,haswa kuhusu majina na picha,akanambia kuwa si Vema kuweka picha na majina halisi.lakini haikuniingia akilini kwann nijifiche,nijibane ?
Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.
Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita Malaya,sijui natumia mkorogo,mara nimekaa kienyeji,lakini niwaambie ukweli mm sijiuzi, najiamini,nahitaji thamani nahitaji heshima.ujinga wenu pelekeni hukooo.lol
Mi staki bhanaMary kama mary mshangazi ngija ngija.
Hapana naitwa Maria na kwenye picha ni MimiHahahaaa. Umefanya na mie nimeview hiyo picha yako hapo. Lol Hapo Mafisi wa Jf washindwe wenyewe.
Japo sasa waeza kuta we ni lidume umeamua tu kuwachora madume wenzio.
🤣utelezi
WeeeeeeMi staki bhana
Itakua ni yule "Maua" kaja kivingine.Huu mwandiko naufananisha sijui na nani vile 😅
Kweli tumezeeka sasa 🙌
Muulize Dada yako kwnn alikupa rescrictions za namna hiyo af ndo urudi humuShikamooni wakubwa wote humu ndani.
Siku ya Kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu,ambaye ndiye boss wangu.alinielekeza mengi,haswa kuhusu majina na picha,akanambia kuwa si Vema kuweka picha na majina halisi.lakini haikuniingia akilini kwann nijifiche,nijibane ?
Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.
Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita Malaya,sijui natumia mkorogo,mara nimekaa kienyeji,lakini niwaambie ukweli mm sijiuzi, najiamini,nahitaji thamani nahitaji heshima.ujinga wenu pelekeni hukooo.lol
Nilitaka niseme hivyo, ila nikaogopa kisirani chakeItakua ni yule "Maua" kaja kivingine.
🤣🤣🤣🤣Itakua ni yule "Maua" kaja kivingine.