Nahitaji heshima, thamani na tusitukanane najisikia vibaya

Huku JF ni sehemu ya kupashana habari, kujifunza, kupunguza msongo wa mawazo, kupata marafiki wapya, michongo ya biashara na utelezi. Sasa wewe kama watu wasiokujua wanakupa stress basi tatizo liko kwako.
Halafu Marry Diana kwanini haujibu pm zangu.? Ndio maana unapata taabu sana mjini changamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…