Nahitaji heshima, thamani na tusitukanane najisikia vibaya

Mary kama mary mshangazi ngija ngija.
 
Hahahaaa. Umefanya na mie nimeview hiyo picha yako hapo. Lol Hapo Mafisi wa Jf washindwe wenyewe.

Japo sasa waeza kuta we ni lidume umeamua tu kuwachora madume wenzio.
Hapana naitwa Maria na kwenye picha ni Mimi
 
Muulize Dada yako kwnn alikupa rescrictions za namna hiyo af ndo urudi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…