Nahitaji heshima, thamani na tusitukanane najisikia vibaya

Na picha yako ikawa moja tu na location hiyo hiyo na kijora hicho hicho kweli Tanzania inachezewa Sana

VAR mko wapi
 
Mmmh mkuu kwa michache miaka mitano niliyokujua nakuonaga chenga sana,nikajua tatizo ni jina😃
Sio kweli Niko vizuri Sana mkuu.tatizo nakula bata kupitiliza halafu sipendi ushauri wa watu kuhusu MAENDELEO kwa sababu Nina uhakika ninayo/nitapata ambayo nitaridhika nayo nasubiri Tu kufa niende mbinguni.in short ndo ivyo nampokea myut anavyokuja.
 
Live forever young girl ,if you were not taken by someone else ,you could be my girl forever 🙏🙏

Note :Ikumbukwe nikiandika kitu kwa lugha ya kingereza ujue nimeappreciate kuliko kawaida

Wewe ni muwazi ,wewe ni mkweli ,wewe unajiamini msalimie sana shemeji.
 
Pole sana, mimi mbona sijali kutukanwa, katika hao wako wengine hawana matatizo mfano mimi nilikutana na fundi humu mpaka akaja nyumbani na mimi kanionyesha kwake, mpaka namba zake ninazo tunaongea fresh tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…