Nahitaji heshima, thamani na tusitukanane najisikia vibaya

Chai
 
Hahahah asante mkuu
hearly ananiita malkia wa vita πŸ˜‚
 
Kwa hili ulilofanya ingekuwa zamani ningesema labda umekuja mjini kwa treni,ila siku hizi nikikwambia umekuja na Treni ya SGR hufanani nalo kabisa...
 
600m2 ni eneo kubwa mzee, unajenga kabisa nyumba kubwa kabisa ila utakosa eneo la kutosha kwa ajili ya parking
 
Haki ya nani sijui... Hii tag ndo naiona leo πŸ˜‚

Huyu tumuacheni tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Da marry nilikumic hatariiiii, wee makapuku wa humu fanya uwazoee tyuuh.

Vipi jamaa wa Alphard ulikutana nae? Na ikawaje? Em nipe ubuyuu kidogo. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu kuna uzi nilikuwa nataka nimuite kumbe anatumia jina lingine, sasahivi kawa Muimba SINGELI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndiyo mkuu.
 
Haki ya nani sijui... Hii kichwa yako ni shida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nilikutafuta sana aisee kila nikiweka tag haiji πŸ˜‚
 
Haki ya nani sijui... Hii kichwa yako ni shida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nilikutafuta sana aisee kila nikiweka tag haiji πŸ˜‚
Niliweka hii baada ya kupokea mchango wa wadau kwamba jina la Kijana Masikini linaleta sana unyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…