Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

Kama hutumii pombe si ubaki nyumbani kwako tu, upike matembele ule na wanao, usije ukawajazia inzi wenzako.

Halafu pia watu wasiotumia pombe nasikia ni wachoyo wa kushare madini!
 
Umeingia na gia kali sana .....

Kuna wazenge watakula za uso......

Leo hujaamkia wakubwa zako sio
 
Hutumii pombe sasa tunabidilishanaje mawazo?
 
Imagine upo zako mahali, alafu pembeni kuna wanawake wanapima nguvu kama wana mieleka...
Unafurahia mwenyewe 😊😊!

Weee si uwagombezee jamani ! Unaogopa kuumiza mmoja 😏😏😏
 
Unafurahia mwenyewe 😊😊!

Weee si uwagombezee jamani ! Unaogopa kuumiza mmoja 😏😏😏
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana, wanyoshane kidogo kwanza...
 
Bangi unatumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…