BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,088
- 2,174
Utapata tena iliyonyooka, mchawi subira tu.habarini Wakuu
Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa
Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter
Asanteni
Asante mkuu ushauri mzuri Ngoja nisubiri kidogo wadau wengineUkiongeza 2 ziwe tano, kwa aina ya hizo gari ulizotaja utapata ipo kwenye hali nzuri zaidi ! Ushauri
sawa mkuuUtapata tena iliyonyooka, mchawi subira tu.
toyo ya bei iyo ipo mkuuBora ununue toyo tu mkuu
toyo ya bei iyo ipo mkuu
Ongeza pesa ifike 5m upambaniw ndoto yakoooohabarini Wakuu
Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa
Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter
Asanteni
inawezekana. Nitumie sms nikuunganishe na madalalihabarini Wakuu
Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa
Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter
Asanteni
chimbo la hizo vyobo liko pande zipi apo darZipo tena utabaki na kifuta jasho
Unaulizia pikipiki zinapatikana wapi na upo mjini?chimbo la hizo vyobo liko pande zipi apo dar
sihitaji toyo mkuuBora ununue toyo tu mkuu
Tembea na starlet ya 3m inaweza kuwa nzima kuliko corola ya 3m.habarini Wakuu
Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa
Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter
Asanteni
Ukihitaji na chombo ya safari usisite nikuuzie GX110 yangu uje na vehicle officer kabisa akagaue ili ukipata vipengele nipelekwe central kabisahabarini Wakuu
Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa
Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter
Asanteni
Unauza ngapiUkihitaji na chombo ya safari usisite nikuuzie GX110 yangu uje na vehicle officer kabisa akagaue ili ukipata vipengele nipelekwe central kabisa