Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

wakuu ushauri wenu naizingatia ngoja niongeze hela hii ifike mil 5 nivute chuma
nimechoka vumbi na hili jua hadi mwili una rangi mbili
 
nilikuwa na starlet nimeshaiuza,nimebaki na brevis mil 2 ila wese kama linamwagika, ukihitaji hizo unazotaka nicheki nikutafutie 0762848532 whatsap
 
Hiyo hela unapata.. Hata ukitaka GX 100..Pitia Zoom tanzania.. Unapata gari nzuri.. Tu... Kikubwa epuka dalali..
 
Hiyo hela unapata.. Hata ukitaka GX 100..Pitia Zoom tanzania.. Unapata gari nzuri.. Tu... Kikubwa epuka dalali..
Asante mkuu najichanga ifike 5 nichukue raum old au Clavia
 
Back
Top Bottom