Nje au ndani?Habari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo no kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Pambana na hali yako.Habari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo no kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Uko wapi?Habari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Usiseme wewe ni Binti wa Miaka 28 Sema hiviiiiiHabari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Punguza ukali wa maneno kijana. Wengine hawajawi kufanya unachowashutumu nacho.Usiseme wewe ni Binti wa Miaka 28 Sema hiviiiii
Wewe Ni shangazi wa Miaka 28 Au Mama uliyefiwa (mjane) maana ushatoa mimba Tatu. Sasa anzia hapo
hyna in the jungles😂Weka mawasiliano yako
Pambana na hali yako.
Muache ushamba!Usiseme wewe ni Binti wa Miaka 28 Sema hiviiiii
Wewe Ni shangazi wa Miaka 28 Au Mama uliyefiwa (mjane) maana ushatoa mimba Tatu. Sasa anzia hapo
Hao jamaa wamezingua ..ninachomshauri huyo dada asitumie kutokuwa na wazazi au tatizo la kusikia kama chambo ya huruma za. Watu..Bora yeye ana cheti Mimi niliishia chuo mwaka wa pili civil engineering kwa tatizo hilohilo la kusikia liliponianza..Muache ushamba!
Chuo gani umesoma?Habari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Wewe mjanja mpe hiyo laki 8.Muache ushamba!
Mkuu tufungulie cod's na wengine tusanuke..Miaka 28 bado unaimba wimbo wa sina wazazi?
Duniani hakuna mru asiye na wazazi, funguka vizuri na utoe control number ya chuoHabari wanajukwaa
Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.
Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Weka mawasiliano yako
hajaomba laki nane kaomba kazi akusanye laki naneWewe mjanja mpe hiyo laki 8.