Nahitaji kazi nipate laki 8 nadaiwa chuoni tokea 2021

Nahitaji kazi nipate laki 8 nadaiwa chuoni tokea 2021

Habari wanajukwaa

Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.

Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
Ungeweka picha ako tuone kama unaniliuu..ya kutushawishi kukulilipia 😁😁😁

Natania bhan
 
Habari wanajukwaa

Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi.

Naombeni mnisaidie jamani hata kazi yoyote tafadhal nichukue chet changu asanteni Mungu awabariki.
..kuwa kipa....tafuta mfadhili mdakishe mpira...hiyo laki 8 ndogo...kuwa TU kipa tight...na msafi...
 
Hao jamaa wamezingua ..ninachomshauri huyo dada asitumie kutokuwa na wazazi au tatizo la kusikia kama chambo ya huruma za. Watu..Bora yeye ana cheti Mimi niliishia chuo mwaka wa pili civil engineering kwa tatizo hilohilo la kusikia liliponianza..
Dah pole sana aisee🤔 nliwahi pata shida ya sikio Moja...nlisaidika mapema sana saivi naskia vzr kbs.

Vp ulifanikiwa kupata vifaaa vinavyoboresha usikivu?
 
Back
Top Bottom