Nahitaji kazi nipate laki 8 nadaiwa chuoni tokea 2021

Ungeweka picha ako tuone kama unaniliuu..ya kutushawishi kukulilipia 😁😁😁

Natania bhan
 
..kuwa kipa....tafuta mfadhili mdakishe mpira...hiyo laki 8 ndogo...kuwa TU kipa tight...na msafi...
 
Hao jamaa wamezingua ..ninachomshauri huyo dada asitumie kutokuwa na wazazi au tatizo la kusikia kama chambo ya huruma za. Watu..Bora yeye ana cheti Mimi niliishia chuo mwaka wa pili civil engineering kwa tatizo hilohilo la kusikia liliponianza..
Dah pole sana aisee🤔 nliwahi pata shida ya sikio Moja...nlisaidika mapema sana saivi naskia vzr kbs.

Vp ulifanikiwa kupata vifaaa vinavyoboresha usikivu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…