Nahitaji kuagiza Toyota Vanguard 2011

THOMASS SANKARA

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
2,055
Reaction score
4,695
Salaaam wanabaraza.


Kama kichwa cha mada kilivyo hapo juu.
Nahitaji kuagiza gari aina ya Toyota Vanguard ya mwaka 2011/2012.
Kwa kuwa mimi sio mzoefu wa magari ndio maana nimekuja humu kuomba muongozo kwa vitu vifuatavyo.

1.Kampuni gani ni nzuri na ya uhakika kwa ajili ya kuagiza gari tajwa hapo juu.

2.Je kuna utofauti gani mkubwa kati ya Vanguard ya mwaka 2011/12 na zile za miaka ya nyuma yake 2007,8,9 nk

3.Ni mambo gani muhimu napaswa kujua na kuzingatia kabla ya kuagiza, inapofika na baada ya kukabidhiwa gari?

Na mengineyo kama yapo ikiwemo ushauri na maoni yenu.


Naombeni mchango wenu wataalamu wa humu.

Wasaalaaam.

Extrovert, @msahana. @mrangi na wengineo
 
Bado nasubiri ushauri na nasaha zanu

mshana
Extrovert mrangi

Kampuni nzuri ni
1. Trust (JapaneseVehicles.com)
2. Autocom Japan
3. Real Motor
4. Enhance Auto
Hawa wana gari nzuri kwa uziefu wangu mdogo nilionao. Unaweza kucheki SBI Motor pia ila sijawahi kuitumia wala sijui mtu aliyetumia

Tofauti ya hizo Vanguard za hiyo miaka naona kama ni bodykits tu na steering wheel. Kama kuna tofauti nyingine naamini.

Zingatia ubira wa hizo gar kabla hujaagiza, cheki inspection sheets, kutu, dents. Zingatia mwaka pia ili iwe na uhakika wa ushuru wake itakapofika. Ikishafika hakuna kikubwa unachoweza kufanya zaidi ya service tu
 
Ahsante mkuu nimechukua ushauri wako.

Nasubiri wadau wengine nao walete ushauri wao
 
Wana gari nzuri,ila hawana stock za gari nyingi..yaan ukiingia mfano autocom ukasearch mfano kluger,unakuta wana gari 4..tena ni gari zenye Kilometers nyingi.
Be forward ni baba lao,,wana gari nyingi mnoo,so unachagua gari uwezavyo.
 
Wana gari nzuri,ila hawana stock za gari nyingi..yaan ukiingia mfano autocom ukasearch mfano kluger,unakuta wana gari 4..tena ni gari zenye Kilometers nyingi.
Be forward ni baba lao,,wana gari nyingi mnoo,so unachagua gari uwezavyo.

Beforward wana gari nyingi lakini sina hakika na ubora. Sikutaka kusema hili kwa sababu sijutaka kugeneralize wala sikutaka kuharibu biashara ya watu. So nilimpa hizo ambazo nina uzoefu anagepata gari nzuri.

Nimeshaagiza gari 2 na autocom, 1 na trust, na watu wangu wa karibu sana wawili waliagiza real motor.

Wawili nafahamu waliagiza Beforward, niseme tu labda walikuwa na bahati mbaya (condition haikuwa nzuri)
 
Upo sahihi, kuna mdogo wangu aliagiza subaru impreza kupitia be4wadi ilifika hapa na kupiliza garage, ikala kama 1.5 ili ikae sawa maana huko miguuni kote kulikuwa hoi... ila pia kuna classmate wangu aliwahi agiza hiace ikafika iko poa tu... sasa ni kuwa makini tu.
 
Wana gari nzuri,ila hawana stock za gari nyingi..yaan ukiingia mfano autocom ukasearch mfano kluger,unakuta wana gari 4..tena ni gari zenye Kilometers nyingi.
Be forward ni baba lao,,wana gari nyingi mnoo,so unachagua gari uwezavyo.
Be forward wapo vizuri na unalipia kwenye akaunt Yao hapa hapa TZ wana-reserve gari. Kisha wao ndo watatuma pesa Japan
 
Check japanesevehicles.com ingawa huwa ni expensive ila grade zao ni uhakika.
Utafuti wa Vanguard, za nyuma zina key, hizi nyingine ni keyless.
Pia kuwa makini kuna zenye engine 2360 na nyingine zaidi ya 3000cc na huwa ni cheaper.
Kuna zingine seven seater, nyingine ni 5.
 

Za mwaka gani zina key? Hata za 2007 ni push to start labda kama baadhi tu ndo ziko hivyo
 
Nachukua maoni yako mkuu
Ahsante kwa ushauri mzuri
Ntazingatia hasa hapo kwenye cc
 
Aagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.

Mkuu agiza kupitia Autocom Japan uzuri jamaa wanashuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…